Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

hv wakuu hii n kw mdogo wangu tuu au ni wote coz ye anajarib kufungua cas aingie kwny account yake imegoma mwnzo mwsho
 
mhhhh jaman udom vp?????? hawatoi au,,,maaaana cwaelew kabsaa
 
Hadi tarehe 10 octoba mkuu sahvi bado tunashughulikia tatizo la multiples selection so kuwa na subira.
 
labda aliangalia kwenye profile yake tcu akadhan kachaguliwa,we umeyaona hayo majina kwani ya open?
 
Kuna taarifa walitoa jana kama cjakosea kwamba ada na direct cost zote inatakiwa zilipwe c zaidi ya trh 15, so if wakichelewesha namna hiyo muda not enough
 
Katika majina waliotoa kwenye chuo hiki mbona majina ya walioaply hii program hayapo au watayatoa batch nyingine?,mwenye fununu aniambie
 
Back
Top Bottom