Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

Tumaini university dsm college (turdaco) vipi matokeo wameshatoa? Wengine hatujaona mm nilijaza tumaini, tiaa dsm, ustawi wa jamii hakuna hata chuo kimoja walichotoa niko njia panda jamani.
 
Hahah Bro usihofu hata majina watatoa soon as long as ulishajua kuwa umechaguliwa mzumbe
Selection haibadiliki
 
samahani uliyetoa hyo topic naomba kuuliza kama open university of Tanzania wameshatoa majina kwani nilichagua hcho chuo na hadi sasa sijaona majina.
 
Jamani kwa waliochaguliwa udsm bachelor of science in aquatic science and fisheries tujuane mimi ni mmoja wao 0766800488
 
Back
Top Bottom