Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

Anaejua kama open university, wametoa majina ya walioeachagua kujiunga na degree mwaka huu, plz anijulishe.. Ikiwezekana aniwekee na link kabisa.
 
Maybe wanadeal na wale walioambiwa wamalizie application then watoe majina yote kwa pamoja
 
Uongo mwingne haufai
Kama hujui kaa kmya utachekwa na wanaojua...
Haya Afisa kumbe tunafanya kaz pamoja.
 
Kiukweli wanatuangusha na vyuo vingi vinafungua mwishoni mwa mwezi huu na mwanzoni mwa mwezi ujao till this tyme profile zinasoma in progress shida tupu
 
Back
Top Bottom