Waanzishe chuo chao tu.Habari wana jamii!
Zikiwa zimebaki siku chache tu kabla ya kufanyika kwa mahafari ya kuhitimu chuo kikuu, nina sikitika kuona kwamba rafiki zangu wengi wasabato hawachangamki kabisa.
Jana tumetoka kulipia majoho lakini nikashangaa kuona rafiki zangu wasabato hawalipii (siowote) na sababu kubwa ya kutolipia ni kwamba sherehe hiyo ya kuhitimu chuo inafanyika siku ya jumamosi ambayo ni siku yao ya kuabudu.
Idadi kubwa ya vyuo vikuu nchini hapa hufanya sherehe hizi siku ya jumamosi hivyo kuwanyima nafasi ya kushiriki ndg zetu hawa wasabato.
Na ninyi wasabato mje hapa mtuambie ubaya wa kushiriki siku ya jumamosi maana kwa mtizamo wangu siku hiyo hufanyi kazi ni sawa na kupumzika kabisa huku ukifrahia kujumuika na wenzako.
Karibuni tueleweshane.
Ungemjua Mungu ungefata amri zakeNabii feki ni wewe na unaye muabudu. Mungu wangu ninaye muabudu ni tofauti na wako
Wewe ndio mnafki unaye abudu siku.Ungemjua Mungu ungefata amri zake
Isaya alinena juu yenu wanafiki
MNAFATA MAFUNDISHO YA WANADAMU
MNAMUABUDU MUNGU BURE
Mungu gani unamuabudu wewe, anayekuamuru ufanye ibada ya jumapili
Sisi twajua IBADA YA JUMAPIL YATOKA KWA PAPA
SABATO YATOKA KWA BWANA
Mungu mwenyewe anatoa ahadi kwamba hawezi kuzibadili amri zake [kumi]:
"MIMI SITALIVUNJA agano langu, wala SITABADILI NENO LILILOTOKA MIDOMONI (MWANGU) - (Zaburi 89:34).
NIMEIGA UNAFIKI KWA HUYUWewe ndio mnafki unaye abudu siku.
Ni kweli kabisa hujakosea. Mungu anayechukia aya nyingi za biblia lazima awe tofautiNabii feki ni wewe na unaye muabudu. Mungu wangu ninaye muabudu ni tofauti na wako
Makalio sio tusi. Binafsi aliposema MAKALIO YA KONKI KONKI ndio kanipa tabu sana!Usipende kututakana wenzako mzee watu wanaiman zao so kuwambia wenzako nimakalio bt endelea kuomba uzma
Na hiyo dini pia angeisaidia kwa njia za sadaka, Dhaka na 10%Kugomea interview kisa dini sio sawa huenda angepata kazi akasaidia familia yake
Babu nakusalimia..Akuongezee hekima unayejua ulisemalo
Katekisimu ya Kanisa Katoliki!Imeandikwa wapi hiyo?
Sio kila unachofikiria unaandika, mengine jadili na mke wako haishe huko.Pia haviwatendei haki Waislamu kwa kuendelea na shughuli zake kama kawaida siku za Ijumaa??
Tume ya uchaguzi pia haiwatendei haki wakristo kwa kufanya uchaguzi siku za Jumapili?
Kwahiyo Serikali pia haitutendei haki wanandoa maana tulipaswa tupumzike siku ya Jumatatu??
Visabato masalia vina lalamika kama makalio ya konki konki...
MAANA KASHIFA KWA JIRANI YAKO NI DHAMBI YAANI NI SAWA NA KUMTUKANA JIRANI YAKO UKIJIONA WEWE UPO KWENYE 'light track'Pia haviwatendei haki Waislamu kwa kuendelea na shughuli zake kama kawaida siku za Ijumaa??
Tume ya uchaguzi pia haiwatendei haki wakristo kwa kufanya uchaguzi siku za Jumapili?
Kwahiyo Serikali pia haitutendei haki wanandoa maana tulipaswa tupumzike siku ya Jumatatu??
Visabato masalia vina lalamika kama makalio ya konki konki...
Ndio tumejadiliana akanishauri niandike hivyo.... Tena amenishauri nikuambie siyo kila nachokiandika ni lazima ukisome.Sio kila unachofikiria unaandika, mengine jadili na mke wako haishe huko.
Mimi ni msabato niliyetukuka...SIJUI chloloquine au SIJUI ni Asprin
UNGEITAMBULISHA IMANI YAKO WAKATI UNAWEKA HII COMMENT YAKO π
MAANA KASHIFA KWA JIRANI YAKO NI DHAMBI YAANI NI SAWA NA KUMTUKANA JIRANI YAKO UKIJIONA WEWE UPO KWENYE 'light track'
PUNGUZA LUGHA YENYE UKAKASI KAMA ULIYOTUMIA HAPO π.
Endelea kushika siku sana , kama bado roho yako haiko safi ,sawa na kazi bure....Ila linalowapa mandate ya kuabudu jumapili halipo
Zaidi lipo Andiko la papa lisemalo
SHIKA KITAKATIFU SIKU YA BWANA
hili ndio linawapeleka mbinguni??View attachment 926339
Je waliomuua, sio washika siku?NIMEIGA UNAFIKI KWA HUYU
Yesu ilikuwa ni kwenda kuabudu katika sinagogi siku ya Sabato (Luka 4:16).
Mimi ni msabato niliyetukuka...