Vyuo vikuu kuitangaza ACT

Status
Not open for further replies.

Roho Mbaya

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
777
670
Chama kipya ambacho kipo kwenye mchakato wa usajili na kinachoonekana kuja kuwa tishio dhidi ya vyama vingine.

Kimeanza kuwa nuru ya watanzania baada ya wasomi wa vyuo vikuu kuona kama chama kitakachokuwa mkombozi wa wanyonge.
Wanafunzi hao wameanza mchakato wa kuunda matawi ya chama hicho katika vyuo

Inasemekana mchakato huo tayar umeisha anza UDSM,UDOM,ST. AGUST - Mwanza na Mtwara pamoja na vyuo vingine viko nyuma ili kuunganisha nguvu ya pamoja
 
Hivi ni kwa nini Zitto & co wanapenda kujifanya wao ni ma academician wakati hata GPA ya Zitto haimuwezeshi kua assistant tutorial?
 
Zitto amekujaje hapo. Chama cha ACT sio Zitto.Muweka Hoja angemuhusisha zitto ungekuwa sahihi BONGOLALA
 
vyuo vikuu wana njaa sana, waache waendelee kutumika badala ya kutumikia elimu zao.
 
Chama kipya ambacho kipo kwenye mchakato wa usajili na kinachoonekana kuja kuwa tishio dhidi ya vyama vingine.

Kimeanza kuwa nuru ya watanzania baada ya wasomi wa vyuo vikuu kuona kama chama kitakachokuwa mkombozi wa wanyonge.
Wanafunzi hao wameanza mchakato wa kuunda matawi ya chama hicho katika vyuo

Inasemekana mchakato huo tayar umeisha anza UDSM,UDOM,ST. AGUST - Mwanza na Mtwara pamoja na vyuo vingine viko nyuma ili kuunganisha nguvu ya pamoja

Labda kama kuna msamiati na tafsiri tofauti ya dhana ya neno "Msomi"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom