Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,772
- 25,413
Vyuo tajwa vipo hoi kifedha mathalani SAUT Tawi la Arusha hatujalipwa mwezi wa tatu sasa. St. John's centre ya Kigoma imefungwa kwa kukosa wanafunzi. Hakika twafwa na elimu yetu ya kuunga-unga.
**Twende wapi na tumesoma vyuo vya kanisa tukiomba kazi pale UDSM sijui SUA hawatupi hata kazi ya ulinzi. Wanatudharau sana asee. Wanadai sisi eti KIWANGO DUNI (KIWADU).
Vyuo tajwa vipo hoi kifedha mathalani SAUT Tawi la Arusha hatujalipwa mwezi wa tatu sasa. St. John's centre ya Kigoma imefungwa kwa kukosa wanafunzi. Hakika twafwa na elimu yetu ya kuunga-unga.
**Twende wapi na tumesoma vyuo vya kanisa tukiomba kazi pale UDSM sijui SUA hawatupi hata kazi ya ulinzi. Wanatudharau sana asee. Wanadai sisi eti KIWANGO DUNI (KIWADU).
CCM haitaji kura ili ishindeeLeo nimetoka TRA,kodi yangu wamezidisha eti mara 2!
Nikamuuliza why,akasema eti kuna vi-penati fulani fulani,nikamjibu sawa bwana kama unaona ni haki kuonea wanadamu wenzio wenye nyama na damu kama wewe!
Then I left!
Halafu nione matako yeyote kwenye ukoo wangu anaipa CCM kura!Naua mtu!
Kwanini usichukue Phd ya maganda ya korosho?Jaman mtuonee huruma tuna familia zinatutegemea au kwa sababu tumesomea PhD in Theology?
Utaua ajira mkuu? Ila ni kweli kwani hata kazi zenyewe hakuna mavyuo mengi ya nini? Kuzalisha "wasomi" wasiokuwa na mahali pa kwenda
Nitajie wanasayansi WaWili nguli wa kikatoliki. Toka vyuo vikuu vya kikatoliki.Hii post yako ni ya kikuda. Haina ukweli wowote bali uongo uliokithiri. Unalifahamu kanisa katoliki wewe? Unafahamu vyuo vikuu pamoja na mifumo yake ilianzishwa na taasisi gani? Unafahamu kuwa wanasayansi ma-nguli wanaofahamika duniani asilimia kubwa sana wametengenezwa na kanisa katoliki? Acha mzaha wewe. Kama huna taarifa na tafiti za kutosha acha kutoa mapovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kila anae soma anashida ya ajira? wengine tunasoma kwa 'presitige' tunalazimishwa na familia tuUtaua ajira mkuu? Ila ni kweli kwani hata kazi zenyewe hakuna mavyuo mengi ya nini? Kuzalisha "wasomi" wasiokuwa na mahali pa kwenda
Kusoma kwa kulazimishwa ni hatari sana. Usikubali kabisa kusoma kwa aina hiyo ni sawa na kulazimishwa kuoa au kuolewaKwani kila anae soma anashida ya ajira? wengine tunasoma kwa 'presitige' tunalazimishwa na familia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM haihitaji kura nyingi au kdg ili ishinde, uchaguzi ukishatangazwa tu imeshashinda,kama hutaki jinyonge au kunywa sumu!!Ni sawa
Ila kura zikiwa nyingi mno hata wakiiba hawataweza!
Komaa uwe kama mc pilipili utatuweka mjini ndg yanguNimejiongeza nimekuwa MC wa sherehe
St john inazalisha sumu sana nchi hii.Ni heri vife tu tena kama st john's university Dodoma ni wababaishaji kinoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza unafiki uzandiki roho mbaya.....Jamaa zetu Msamvu hali yao sijui ipoje
Kwenye list hii hamna hata chuo kimoja cha afya tutajenga taifa la kwenda kutibiwa nje?