Vyuo vikuu 10 bora Afrika 2026

Vyuo vikuu 10 bora Afrika 2026

Huwezi ukapata vyuo bora Tanzania kutokana na outcome yake... Lecturers kina Kabudu, Bashiru afu wanafunzi wao ndio kina Katambi 🤣 anatembea na katiba wakati ukimuuliza swali la katiba aliyoishika hawezi kujibu kwakutumia hiyo katiba!!.
Just imagine Rais wa wanafunzi ni Kiriba sijui KIRIBA TUMBO... Yupo busy kusifia upuuzi wa ccm!
😅😅😅😅
 
  • Thanks
Reactions: Exy
dar na sokoine siku zote vilikuwa top 10 mpaka mkuu wa chuo mwingine alipoletwa, well you know who? sasa leo hii cha mwisho, hijabs kila mahali ...
 
😅😅😅😅
Eti Rais wa wanafunzi wa vyuo vikuu kabisa yupo busy kuongoza kampeni ya kusifia utekekaji, rushwa na serikali ya ccm!. Wakati tunaambiwa huko vyuo vikuu ndiko watu wanpaswa kuhoji maana wanafundishwa kuthink kwa kina 😀.
 
Wakuu hii habar imenishtua

Tanzania ina chuo kimoja tu hapa top 10 ambacho ni cha 7 . University of Dar es salaam.

Wakati kenya ikiwa na vyuo vitatu!!Na hata 5 bora hatumo.
Nini shida huku!! Mbona tanzania africa inaonekana n nchi yenye nguvu sana
 
Back
Top Bottom