Vyuo bora Tanzania kwa kozi mbalimbali

Vyuo bora Tanzania kwa kozi mbalimbali

Utafiti unapingwa kwa utafiti, fanya utafiti ujue kama CBE haipo vizuri.
Kumbuka lugha kama "No research no right to speak" wakati mwingine hutumiwa na poor researchers kama defence mechanism yao kwa wale wanaoonekana kutokubaliana na hizo wanazoziita tafiti zao.

Ok. Wewe unasema umefanya utafiti. Kama kweli umefanya utafiti thibitishia wadau hapa kwa kuweka hadharani mapungufu uliyoyaona kwenye vyuo vya TIA na IAA hadi visionekane kwa vigezo sahihi kuwa na ubora kwenye kozi za finance na accounting na pia Bugando na KCMC kwenye kozi za medicine. Kweli wanaosoma kozi hizo TIA, IAA, Bugando au KCMC ambavyo haviko katika orodha yako wanapoteza muda?

Fanya hiyo dissemination ili tuamini kuwa ulichokiandika kweli umekifanyia utafiti.
 
Utafiti unapingwa kwa utafiti, fanya utafiti ujue kama CBE haipo vizuri.
Ndugu jaribu kuwa mwelewa. Hakuna anayepinga CBE kuwa wazuri. Swali ni kwamba ni wazuri kwa level ipi? PhD au Diploma? Ndio maana nakukataza kulinganisha CBE na UDSM. Ni sawa na kusema yanga ni wazuri na pia barcelona ni wazuri kisha unawaweka kundi moja.

Hao CBE ni wazuri kwa level zao kama ni mpira sema kombe la mbuzi. Na UDSM walinganishe uzuri wao kwenye ligi yao kama ni mpira sema kombe la Dunia.

Huwezi linganisha International Institution na Local ones. Ukibisha andaa interview kwa wanafunzi waliotoka st. Josefu university wenye first class na wa UDSM wenye lower second, wote wawe wamesoma kozi zinazofanana, utaona miujiza.
 
Ndugu mleta mada. Kama umeitendea haki hiyo PCM yako elewa unaweza kusoma kozi nyingi sana isipokuwa za udaktari. Yaani hata ungwini na sheria ruksa. Jaribu kuangalia fani nje ya engineering kama unataka kujiajiri.

Nakushauri soma kompyuta science hasa issue za programing na data base vinalipa sana kwenye karne hii. Hakuna kazi ya kisasa isiyohitaji matumizi ya software yaani hata mabafu na vyoo vya kisasa ni programmable.

Pia waweza somea uchumi wa gesi kama unataka kuajiriwa TPDC.
 
Ndugu jaribu kuwa mwelewa. Hakuna anayepinga CBE kuwa wazuri. Swali ni kwamba ni wazuri kwa level ipi? PhD au Diploma? Ndio maana nakukataza kulinganisha CBE na UDSM. Ni sawa na kusema yanga ni wazuri na pia barcelona ni wazuri kisha unawaweka kundi moja.

Hao CBE ni wazuri kwa level zao kama ni mpira sema kombe la mbuzi. Na UDSM walinganishe uzuri wao kwenye ligi yao kama ni mpira sema kombe la Dunia.

Huwezi linganisha International Institution na Local ones. Ukibisha andaa interview kwa wanafunzi waliotoka st. Josefu university wenye first class na wa UDSM wenye lower second, wote wawe wamesoma kozi zinazofanana, utaona miujiza.
ndugu yangu, sijaweka level hapo, hata kama ni wazuri kwa level diploma bado wanastahili kuwepo kwenye list. Nadhani itabidi nilete ufafanuzi zaidi kwanini CBE imeizidi TIA

mfano : Finance &accouting kwa level ya masters mzumbe haitakiwi kabisa kuwepo hapo?
 
Ndiyo maana nikasema vilinganishe kwa viwango vyao. Siyo kuvirundika pamoja. Yaani wanaotoa diploma waweke pamoja na wanaotoa PhD waweke pamoja kisha pima ubora. Itakusaidia wewe na wenzio wengi tu msioelewa mgawanyiko wa taasisi za elimu.
 
Dit na Arusha tech tangu lini wanatoa Architecture?
 
1. Civil engineering ( DIT, MUST, CoET, Arusha Tech)

2. Law (Udsm, Iringa University, ST John, St augustine)

3. Finace & Accouting ( IFM, CBE, udsm, mzumbe)

4. Computer & Telecom (CoET)

5. Computer Science (udsm, IFM)

6. Administration (Mzumbe)

7. Medicine (Muhimbili)

8. Architecture (Ardhi, Arusha tech, DIT, Must)

9. Political science (Udsm)

10. Electrical ( Must, DIT, arusha tech, CoET)

11. Agricuture( SUA)

12. Medicine ( MUHAS)

...
sehemu nyingine unapoteza muda
mkuu CoET nacho ni chuo??
 
vyuo vyote ulivyotaja ukienda kwenye world rankings hakuna hata kimoja kilichopo kwenye elf5 bora. bora mimi niliesoma harvard kipo kwenye top3. kwa hyo mm nakuona wewe mtoa post ndiye umepotea.
 
mkuu bwana,hapo namba 3 unaiacha Muccobs unaiweka cbe,hujui hata kwenye cpa watoto wa muccobs wanatoboa sana??
 
1. Civil engineering ( DIT, MUST, CoET, Arusha Tech)

2. Law (Udsm, Iringa University, ST John, St augustine)

3. Finace & Accouting ( IFM, CBE, udsm, mzumbe)

4. Computer & Telecom (CoET)

5. Computer Science (udsm, IFM)

6. Administration (Mzumbe)

7. Medicine (Muhimbili)

8. Architecture (Ardhi, Arusha tech, DIT, Must)

9. Political science (Udsm)

10. Electrical ( Must, DIT, arusha tech, CoET)

11. Agricuture( SUA)

12. Medicine ( MUHAS)

...
sehemu nyingine unapoteza muda
Umetumia vigezo gani kusema ni vyuo bora katika hizo fani?
 
1. Civil engineering ( DIT, MUST, CoET, Arusha Tech)

2. Law (Udsm, Iringa University, ST John, St augustine)

3. Finace & Accouting ( IFM, CBE, udsm, mzumbe)

4. Computer & Telecom (CoET)

5. Computer Science (udsm, IFM)

6. Administration (Mzumbe)

7. Medicine (Muhimbili)

8. Architecture (Ardhi, Arusha tech, DIT, Must)

9. Political science (Udsm)

10. Electrical ( Must, DIT, arusha tech, CoET)

11. Agricuture( SUA)

12. Medicine ( MUHAS)

...
sehemu nyingine unapoteza muda
11/12/2015
Tanzanian scientists
discover dangerous
bacteria in Mwanza
Scientists in Tanzania have discovered
a new kind of bacterium which is
causing sporadic outbreaks of infections
among newly born babies at Bugando
Medical Centre(BMC) in Mwanza. The
new bacterial species, which has been
named Enterobacter bugandensis, poses
a high risk of death due to high
infection rates in babies aged less than
one month, scientists say.
FLESH EATING BACTERIA
In Summary
It has been named
“bugandensis” because of its
association with the Bugando
Medical Centre
Syriacus Buguzi,The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Scientists in Tanzania
have discovered a new kind of
bacterium which is causing sporadic
outbreaks of infections among newly
born babies at Bugando Medical Centre
(BMC) in Mwanza. The new bacterial
species, which has been named
Enterobacter bugandensis, poses a
high risk of death due to high
infection rates in babies aged less than
one month, scientists say. This is the
first report of an outbreak of a unique
species of Enterobacter bacteria in
Africa, according to findings published
in the International Journal of
Systematic and Evolutionary
Microbiology. The bacterium has also
been associated with milk powder.
It has been named “bugandensis”
because of its association with the
Bugando Medical Centre, where
samples containing the strains of the
bacterium were collected in an
experiment that took about three
years, they said.
Strains of the bacterium were isolated
from blood samples of new born
babies at BMC in Mwanza, between
December 2009 and February 2010.
Environmental sampling was
performed, with samples obtained
from solutions, milk, suction tubes,
sinks and mattresses.
For the first time, the researchers at
the Catholic University of Health and
Allied Sciences (Cuhas)
, in
collaboration with German scientists,
were able to isolate the strain of
bacteria which had affected 17 new
born babies in a neonatal unit at the
centre.
One of the researchers from Cuhas,
Professor Stephen Mshana, told The
Citizen yesterday that the discovery of
the new bacterial species was of public
health significance in Tanzania due to
its potential to cause death in
newborns.
In Tanzania, around 32 per cent of
children under the age of five die in
the first 28 days of life – many infants
survive for only a few days, according
to reports by UNICEF. The most
common causes of deaths are linked to
bacterial infections, reports further
say.
“The significance of this [newly
discovered bacterium] is that it causes
neonatal sepsis with high mortality,’’
said Professor Mshana, a
microbiologist at Cuhas.
“The data[which was reported in the
study] highlights the need for constant
surveillance of bacteria…as well as
improvements in hygiene measures in
developing countries,’’ the scientists
recommended in the study.
The scientists have recommended that
surveillance of this strain must be
carried out in the country to
determine the extent to which it may
have spread.
 
Vitoto vijinga jinga namna hii ndivyo vinasababisha terminology kilaza iendelee kumea na kustawi!
 
kama sio chuo ni nini?
Chuo ni udsm,CoET ni college iliyopo ndani ya chuo kama huelewi college ni sehemu ya chuo kikuu); walimu na wanafunzi wanaofanya sehemu ya Chuo Kikuu.Sio chuo kama unavyosema.....utakua umenielewa aisee kama hujaelewa kasome kitabu cha tcu uangalie orodha ya vyuo halafu urudi.....
 
umemwelewesha vyema!! sema na yeye ni walewale mashabiki wa vyuo na vitu wasivyovijua.
nimemuuliza Medicine Ya Muhimbili ni ipi na Medicine ya MUHAS ni ipi hajanijibu.
 
Nionavyo utafiti wako haujaufanya kwa umakini (kama kweli umeufanya). Haiwezekani katika kozi za Finance na Accounting chuo chenye mapungufu mengi kitaaluma kama CBE ukiweke pamoja na IFM, UDSM na Mzumbe huku ukikisahau chuo cha TIA. Labda kama ni kwenye hizo kozi mpya "Finace na Accouting" kama ulivyoandika wewe.

Na vipi kuhusu kozi za medicine Bugando na KCMC nao hawako vizuri?

Na kozi za archicture kwenye namba 8 ni kozi gani? Hauko makini ndugu yangu.
Mkuu kwenye namba 8 hiyo, nami naona kakosea sana. Architects hasa ni ARDHI, MUST then DIT na TCA. DIT ni wazuri sana kwa Civil Engineering kwa muktdha wa andiko la mtoa mada. Kwa sababu kozi zingine mtoa mada hakuziweka, nadhan hakuna sababu ya watu kulalmika kwa kuwa hizo hakuzifanyia utafiti. Iko wazi kabisa, moja ya vyou makini huwez kuacha kutaja UDSM, SUA, DIT, TIA, MUST.
 
Back
Top Bottom