Vyuo bora Tanzania kwa kozi mbalimbali

Vyuo bora Tanzania kwa kozi mbalimbali

1. Civil engineering ( DIT, MUST, CoET, Arusha Tech)

2. Law (Udsm, Iringa University, ST John, St augustine)

3. Finace & Accouting ( IFM, CBE, udsm, mzumbe)

4. Computer & Telecom (CoET)

5. Computer Science (udsm, IFM)

6. Administration (Mzumbe)

7. Medicine (Muhimbili)

8. Archicture (Ardhi, arusha tech, DIT, Must)

9. Political science (Udsm)

10. Electrical ( Must, DIT, arusha tech, CoET)

...
sehemu nyingine unapoteza muda
SUA je?! Nao wanapoteza mda basi naomba nikuite kilaza
 
Kwa anaetaka kusoma ualimu a apply Udom hutajutia kuna kozi nyingi nzuri za ualimu ila mi nazikubali sana kozi mbili Bach of education in psychology and Bach of education in guidance and counseling, zipo na nyingine nyingi hutajutia
 
Chuo sio kitu cha msingi ni wwe, ukiwa kihiyo hata upelekwe Harvard bado hutapata unafuuu. Labda urudi tanzania kuja kua hewa
 
Nikitaka kusomea Mechanical eng je?!
Vipi kuhusu Mechatronics?!
Na wale wa Quantity Surveyor?!
Kabla sijasahau wa Chemical and Process eng?!

Au waliochagua kozi tajwa ni vil....?!
 
1. Civil engineering ( DIT, MUST, CoET, Arusha Tech)

2. Law (Udsm, Iringa University, ST John, St augustine)

3. Finace & Accouting ( IFM, CBE, udsm, mzumbe)

4. Computer & Telecom (CoET)

5. Computer Science (udsm, IFM)

6. Administration (Mzumbe)

7. Medicine (Muhimbili)

8. Archicture (Ardhi, arusha tech, DIT, Must)

9. Political science (Udsm)

10. Electrical ( Must, DIT, arusha tech, CoET)

...
sehemu nyingine unapoteza muda
Mkuu chuo cha Magogoni nacho ni cha vilaza?
 
1. Civil engineering ( DIT, MUST, CoET, Arusha Tech)

2. Law (Udsm, Iringa University, ST John, St augustine)

3. Finace & Accouting ( IFM, CBE, udsm, mzumbe)

4. Computer & Telecom (CoET)

5. Computer Science (udsm, IFM)

6. Administration (Mzumbe)

7. Medicine (Muhimbili)

8. Archicture (Ardhi, arusha tech, DIT, Must)

9. Political science (Udsm)

10. Electrical ( Must, DIT, arusha tech, CoET)

...
sehemu nyingine unapoteza muda
Kwahiyo mkuu SUA unakichkulia poa?
 
Agriculture engineering vipi!?
We mtoa mada hauko smart na utafiti wako umeufanyia chumbani!
 
ukiona kozi haipo hapo basi, utafiti bado unaendelea, soon utajua.
Unaendelea kivipi!? Au hujasoma hitimisho la bandiko!? Anyway sidhani kama East Africa kwa kozi za agriculture na utafiti eti unaweza iacha SUA. Ndio maana napata mashaka
 
1. Civil engineering ( DIT, MUST, CoET, Arusha Tech)

2. Law (Udsm, Iringa University, ST John, St augustine)

3. Finace & Accouting ( IFM, CBE, udsm, mzumbe)

4. Computer & Telecom (CoET)

5. Computer Science (udsm, IFM)

6. Administration (Mzumbe)

7. Medicine (Muhimbili)

8. Archicture (Ardhi, arusha tech, DIT, Must)

9. Political science (Udsm)

10. Electrical ( Must, DIT, arusha tech, CoET)

...
sehemu nyingine unapoteza muda
Chuo kinachotoa accounting iliyoshiba ni TIA. Naona umeweka vyuo vyako bila kufanya hata uchunguzi.

Cha kusikitisha zaidi umekurupuka,SUA hujaitaja hata kidog. Pole Sana
 
Unaendelea kivipi!? Au hujasoma hitimisho la bandiko!? Anyway sidhani kama East Africa kwa kozi za agriculture na utafiti eti unaweza iacha SUA. Ndio maana napata mashaka
wewe kilaza sasa, kuna kozi yoyote ya agricuture imetajwa hapo ?

Kama kozi haija tajwa subiri ila kwa kozi zilizo tajwa ukisoma nje ya vyuo hivyo unapoteza muda.
 
wewe kilaza sasa, kuna kozi yoyote ya agricuture imetajwa hapo ?

Kama kozi haija tajwa subiri ila kwa kozi zilizo tajwa ukisoma nje ya vyuo hivyo unapoteza muda.
Nionavyo utafiti wako haujaufanya kwa umakini (kama kweli umeufanya). Haiwezekani katika kozi za Finance na Accounting chuo chenye mapungufu mengi kitaaluma kama CBE ukiweke pamoja na IFM, UDSM na Mzumbe huku ukikisahau chuo cha TIA. Labda kama ni kwenye hizo kozi mpya "Finace na Accouting" kama ulivyoandika wewe.

Na vipi kuhusu kozi za medicine Bugando na KCMC nao hawako vizuri?

Na kozi za archicture kwenye namba 8 ni kozi gani? Hauko makini ndugu yangu.
 
Nionavyo utafiti wako haujaufanya kwa umakini (kama kweli umeufanya). Haiwezekani katika kozi za Finance na Accounting chuo chenye mapungufu mengi kitaaluma kama CBE ukiweke pamoja na IFM, UDSM na Mzumbe huku ukikisahau chuo cha TIA. Labda kama ni kwenye hizo kozi mpya "Finace na Accouting" kama ulivyoandika wewe.

Na vipi kuhusu kozi za medicine Bugando na KCMC nao hawako vizuri?
Hayo ni maoni yako,
 
We hujaona Bugando wamegundua virus mpya and still are making progress watu kama mtoa Mada should just disappear because of you people now I understand why natural calamities befall Tanzania
 
Chuo cha kutoa elimu ya kiwango gani? PhD au Masters? Hivyo vingine kama Arusha Tech kinazalisha ma archtect au wasaidizi. Hebu vipange kulingana na level zake kitaaluma. Kuiweka UDSM na CBE kundi moja ni kosa la jinai. Ni sawa na kuwalinganishwa messi na mfungaji bora wa ligi ya TZ hata kama huyu wa TZ kafunga magoli mengi katika msimu mmoja kuliko messi.
Umeandika ukweli mkuu. Tatizo siku hizi watu wengi wanapenda sana waonekane "wamefanya utafiti"
 
Back
Top Bottom