Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,711
- Thread starter
- #81
open university sijawahi kutana nao, sijui wanafanya kazi wapi, japo najua serikalini wapo wengi.duhh!!!! ilitakiwa utoe data kibaoo za analysis yako. sio kuamka tu na kutaja vyuo
je st augtine , OPEN umewahi iskia?
Umewahi kupambana na interview na mhitimu wa open akawepo? (maana wanajulikana kama kuku wa kienyeji)