Vyuo bora Tanzania kwa kozi mbalimbali

Vyuo bora Tanzania kwa kozi mbalimbali

Chuo cha kutoa elimu ya kiwango gani? PhD au Masters? Hivyo vingine kama Arusha Tech kinazalisha ma archtect au wasaidizi. Hebu vipange kulingana na level zake kitaaluma. Kuiweka UDSM na CBE kundi moja ni kosa la jinai. Ni sawa na kuwalinganishwa messi na mfungaji bora wa ligi ya TZ hata kama huyu wa TZ kafunga magoli mengi katika msimu mmoja kuliko messi.
Kwani UDSM inatumia mitaala ya cambridge?toa sababu za kutokufananishwa.
 
Kuna wakati kukaa kimya kuna ficha ujinga Wa mtu hivi kweli muhas na muhimbili ni vyuo tofauti hapa panafaa kujua ufaham Wa mtafiti ktk masuala ta kitaaluma. Ndugu hujafanya utafiti na ninamashaka ni form six unaemsubiri Ndalichako akulaze so unataka koz inaonekana hatua TCU guidebook hujawai iona inafananaje. Subiri kwanza matokeo yako yatoke ona ss hii aibu inakuwa kubwa na watu humu hawasahau ujinga Wa member so it will hunt you in your all jf life pole sana kwa haya . lakini ndo njia ya kujifunza uskate tamaa siku nyingine have enough time to search for things b4 coming publicly here.
Wasalaam
 
Chuo ni udsm,CoET ni college iliyopo ndani ya chuo kama huelewi college ni sehemu ya chuo kikuu); walimu na wanafunzi wanaofanya sehemu ya Chuo Kikuu.Sio chuo kama unavyosema.....utakua umenielewa aisee kama hujaelewa kasome kitabu cha tcu uangalie orodha ya vyuo halafu urudi.....
college ni chuo kwa kiswahili au?
 
umemwelewesha vyema!! sema na yeye ni walewale mashabiki wa vyuo na vitu wasivyovijua.
nimemuuliza Medicine Ya Muhimbili ni ipi na Medicine ya MUHAS ni ipi hajanijibu.
mi mwenyewe nasubiri jibu lake hapo mkuu
 
1. Civil engineering ( DIT, MUST, CoET, Arusha Tech)

2. Law (Udsm, Iringa University, ST John, St augustine)

3. Finace & Accouting ( IFM, CBE, udsm, mzumbe)

4. Computer & Telecom (CoET)

5. Computer Science (udsm, IFM)

6. Administration (Mzumbe)

7. Medicine (Muhimbili)

8. Architecture (Ardhi, Arusha tech, DIT, Must)

9. Political science (Udsm)

10. Electrical ( Must, DIT, arusha tech, CoET)

11. Agricuture( SUA)

12. Medicine ( MUHAS)

...
sehemu nyingine unapoteza muda
Computer & Telecom hazpo CoET
 
Mass Communication and Journalism ( SAINT AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA a.k.a SAUT ). Tafadhali siku nyingine usirudie kukisahau hiki CHUO KIKUU KILICHOBARIKIWA na PENDWA Afrika Mashariki na Kati kama siyo duniani pia sawa? Kuvitaja Vyuo Vikuu vyote nchini Tanzania na kutokitaja au kukipa KIPAUMBELE Chuo Kikuu cha SAUT ni sawa sawa na Binadamu kutaka kwenda kumsalimia Mwenyezi Mungu katika kiti chake cha enzi na ukasahau kupitia kwa MALAIKA ili wakuruhusu na wakubariki vizuri.
 
isije kua kwa sababu umesoma hapo
 
isee
1. Civil engineering ( DIT, MUST, CoET, Arusha Tech)

2. Law (Udsm, Iringa University, ST John, St augustine)

3. Finace & Accouting ( IFM, CBE, udsm, mzumbe)

4. Computer & Telecom (CoET)

5. Computer Science (udsm, IFM)

6. Administration (Mzumbe)

7. Medicine (Muhimbili)

8. Architecture (Ardhi, Arusha tech, DIT, Must)

9. Political science (Udsm)

10. Electrical ( Must, DIT, arusha tech, CoET)

11. Agricuture( SUA)

12. Medicine ( MUHAS)

...
sehemu nyingine unapoteza muda
siku moja nimeingia pale CBE kumsubiri jamaa yangu lecturer anamaliza kipindi anawaimbia wanafunzi eti ahsanteni kwakuja thanks for coming coming wanafunzi wa degree wanaitikia nao isee nilishangaa sana
 
jaman wa udsm hii si aibu,msomi gani huyu au ndo ule mgomo baridi wa walimu.
 
duhh!!!! ilitakiwa utoe data kibaoo za analysis yako. sio kuamka tu na kutaja vyuo
je st augtine , OPEN umewahi iskia?
Umewahi kupambana na interview na mhitimu wa open akawepo? (maana wanajulikana kama kuku wa kienyeji)
 
isije kua kwa sababu umesoma hapo

Hilo ni mojawapo ila kubwa zaidi ni uwezo mkubwa na sifa kubwa ya hiko Chuo Kikuu katika kuzalisha WATAALAM tukuka wa masuala ya MASS COMMUNICATION and JOURNALISM Tanzania, Afrika Mashariki, Afrika,duniani na Mbinguni pia.
 
Muujiza gani kaka nataka kujua Kati ya St. Joseph na udsm.
 
1. Civil engineering ( DIT, MUST, CoET, Arusha Tech)

2. Law (Udsm, Iringa University, ST John, St augustine)

3. Finace & Accouting ( IFM, CBE, udsm, mzumbe)

4. Computer & Telecom (CoET)

5. Computer Science (udsm, IFM)

6. Administration (Mzumbe)

7. Medicine (Muhimbili)

8. Architecture (Ardhi, Arusha tech, DIT, Must)

9. Political science (Udsm)

10. Electrical ( Must, DIT, arusha tech, CoET)

11. Agricuture( SUA)

12. Medicine ( MUHAS)

...
sehemu nyingine unapoteza muda
Hapo penye rangi nyekundu hiyo kozi inatolewa chuo gani?
 
Back
Top Bottom