Vyuo 17 bora Tanzania, Je chuo chako kipo?

Vyuo 17 bora Tanzania, Je chuo chako kipo?

Jamaan huo ndo ukweli wa mambo ila nyie ambao chuo chenu hakijatajwa don fil bad coz mausha mazur hayatoki kweny chuo ulichosoma by the way ajira anaeza kupata mtu yyt kwa chuo chchot ila yo competence and GPA itakufanya uwe smwhr

kuna vyuo kama St.joseph havijatajwa lakn wahandisi wengi wa ict wametoka hapo na ni well appriciated mbona hakipo umetudanganya mkuu
 
Nimegundua kitu kimoja hapa, kuna watu wanapenda kusifia chuo alichosoma ikijipa moyo kuwa ubora wa chuo chake ndio utamrahisishia upatikanaji wa ajira hilo asahau. Pia wengine ambao wajihisi kukata tamaa sababu vyuo walivyosoma havipo kwenye list, nao pia wasikate tamaa. Ajira zilivyo siku hizi zinategemea mambo kadhaa mfano kuwa ndugu yako huko unakoomba au how competent are you katika field unayosoma. Kama unaamini ubora wa chuo ndio utakusaidia kupata ajira njoo mtaani...
#fundi mchundo tanakilishi
 
Ushabiki wa vyuo mimi simo kabisa! Nsije nkaonekana kilaza kwa kusema mambo ya kitoto hapa! Lakin ninachojua the best university is your head! Mengine mbwembwe tu! Lakini bado nina mashaka na baadhi ya thinker kwenye jukwaa hili! Are they real great thinkers or they just pretend?
 
HII NDO LIST YA VYUO 17 VINAVYOONGOZA KWA KUTOA ELEMU BORA BONGO, JE CHUO CHAKO KIPO?

Note: Huu ni mpangilio binafsi na si pendekezo la JF.

CHEKI HAPA
1 University of Dar es Salaam .
2 Sokoine University of Agriculture
3 Muhimbili University of Health and Allied Sciences
4 The Hubert Kairuki Memorial University
5 St. Augustine University of Tanzania
6 Tumaini University
7 The University of Dodoma
8 Ardhi University
9 St. John's University of Tanzania
10 Teofilo Kisanji University
11 The State University of Zanzibar
12 Mount Meru University
13 Mzumbe University
14 Zanzibar University
15 The University of Arusha
16 Muslim University of Morogoro
17 International Medical and
Technological University

Aaaah!!!First year nao,Good endeleeni kufurahia huo ubora, pia nanyi kichwani muwe bora basi!!Hii naifananisha na msafiri anayesifia uzuri wa gari alilopanda katika safari yake baada ya muda anashuka yeye mwenyewe kama alivyo na begi lake.
 
The Open University of Tanzania (OUT) ndio cha kwanza!
First degree unasoma hadi miaka 6 hakuna longolongo kama hayo mavyuo yenu!
 
Ebh tuachen ushabiki na kusema ukweli hv Muslim universty inaweza ikaipita st.joseph university in Tz? au ndo mnachukua rank ya miaka 5 iliyopita alafu mnapost humu?

Hata mimi nimeshangaa ujue, hapa ofisini kuna dogo katoka pale, yaan bila yeye kazi haziendi.
 
Aaaah!!!First year nao,Good endeleeni kufurahia huo ubora, pia nanyi kichwani muwe bora basi!!Hii naifananisha na msafiri anayesifia uzuri wa gari alilopanda katika safari yake baada ya muda anashuka yeye mwenyewe kama alivyo na begi lake.

teh teh . . .
 
HII NDO LIST YA VYUO 17 VINAVYOONGOZA KWA KUTOA ELEMU BORA BONGO, JE CHUO CHAKO KIPO?

Note: Huu ni mpangilio binafsi na si pendekezo la JF.

CHEKI HAPA
1 University of Dar es Salaam .
2 Sokoine University of Agriculture
3 Muhimbili University of Health and Allied Sciences
4 The Hubert Kairuki Memorial University
5 St. Augustine University of Tanzania
6 Tumaini University
7 The University of Dodoma
8 Ardhi University
9 St. John's University of Tanzania
10 Teofilo Kisanji University
11 The State University of Zanzibar
12 Mount Meru University
13 Mzumbe University
14 Zanzibar University
15 The University of Arusha
16 Muslim University of Morogoro
17 International Medical and
Technological University

vilaza wataisha lini?
 
dogo haujielewi kabisa chuo ni bora kutokana n kozi mfano biashara n economics mzumbe hawajambo wanafuatiwa n udsm n muccobs afu swala zma la construction uclas(ardhi) mpango xna mfano building economics ipo ardhi n kenya 2 africa mashariki n kati afu sheria udsm wakifuatiwa n tumaini mambo ya engeneerin udsm hakunaga medicine n mambo ya udaktari muimbili inatisha ikifuatiwa n hubert then kcmc umeona mgodo wangu lakini over all udsm sokoine muimbili n hubert ogopaa sana ni kwa sababu unchunguzi huwa unaanggalia zaidi idadi ya maprofeseri katika chuo
 
dogo haujielewi kabisa chuo ni bora kutokana n kozi mfano biashara n economics mzumbe hawajambo wanafuatiwa n udsm n muccobs afu swala zma la construction uclas(ardhi) mpango xna mfano building economics ipo ardhi n kenya 2 africa mashariki n kati afu sheria udsm wakifuatiwa n tumaini mambo ya engineering udsm hakunaga medicine n mambo ya udaktari muimbili inatisha ikifuatiwa n hubert then kcmc umeona mgodo wangu lakini over all udsm sokoine muimbili n hubert ogopaa sana ni kwa sababu unchunguzi huwa unaanggalia zaidi idadi ya maprofeseri katika chuo
 
Hapo mwisho tuu ndipo ulipokosea mkuu usipotoshe wasomi
 
Huyu alieposta hajui kinachoendela hapa town..utajua uwezo wa chuo chako wakat wa kutafuta kazi..
 
Rank ya chuo chako haimaanishi ndio utapata kazi haraka, uzuri wa chuo ni pale unapokuwa umemaliza na ukapata kazi so haijalishi umesoma wapi. Hizo ranks ni mbwembwe tuuu
 
Back
Top Bottom