Vyuo 17 bora Tanzania, Je chuo chako kipo?

Vyuo 17 bora Tanzania, Je chuo chako kipo?

kuchangia ni namna ya kuwasaidia namna ya kufikiria, by the way nina majukumu mengi yaliyonileta huku niliko, niliyo share nanyi yanatosha kabisa mwenye hekima kaelewa, na asiyeelewa sina sababu ya kumlazimisha aelewe. kazaneni msome kwa bidii taifa linataka communal returns.
 
Sidhani chuo kinakupa kazi o mkwanja zaid ya kubaki kwenye cheti chuo bora ni kichwa chako japo nimesoma hicho cha kwanza ila usimdharau yyte kwa sababu ya chuo kwan hata unachokisifia kuna vilaza wa kumwaga
 
Tumin haiwez izid mzumbe... viazi wote wanasoma tumaini.... afu we bado mdogo njoo mtaani kwene kazi sema chuo chako ni cha kwanza in rankin atakuajili bibi yako
 
We Ni Kilaza Kweli,vyote Ni Vyuo Na Vyote Vko Bongo,ndio Nyinyi Mnaojigamba Kwa Cna Eti Npo Chuo Cha Taifa,na Mnafikiria Anaesoma Chuo Kingne Ni Kilaza 2. Fikr Kabla Ya Kutenda
 
Udsm ni ya kwanza kweli maana imetoa mafisadi kila ofisi nchi hii! Kuanzia ngazi ya kitaifa hadi wilaya! Pia kuna walio katisha mipaka wakaenda hadi UN waliposhitukiwa wakarejeshwa nyumbani! Kweli kimejitahidi sana, pia madaktari feki wanazalishwa pale Mhimbiri kila kukicha!
 
HII NDO LIST YA VYUO 17 VINAVYOONGOZA KWA KUTOA ELEMU BORA BONGO, JE CHUO CHAKO KIPO?

Note: Huu ni mpangilio binafsi na si pendekezo la JF.

CHEKI HAPA
1 University of Dar es Salaam .
2 Sokoine University of Agriculture
3 Muhimbili University of Health and Allied Sciences
4 The Hubert Kairuki Memorial University
5 St. Augustine University of Tanzania
6 Tumaini University
7 The University of Dodoma
8 Ardhi University
9 St. John's University of Tanzania
10 Teofilo Kisanji University
11 The State University of Zanzibar
12 Mount Meru University
13 Mzumbe University
14 Zanzibar University
15 The University of Arusha
16 Muslim University of Morogoro
17 International Medical and
Technological University

Vip Kcmc
 
Udsm ni ya kwanza kweli maana imetoa mafisadi kila ofisi nchi hii! Kuanzia ngazi ya kitaifa hadi wilaya! Pia kuna walio katisha mipaka wakaenda hadi UN waliposhitukiwa wakarejeshwa nyumbani! Kweli kimejitahidi sana, pia madaktari feki wanazalishwa pale Mhimbiri kila kukicha!

jaribu kupunguza upoyoyo kijana
 
sua iz the best of da best... !! ndugu zangu wa udom?? mbona siwaoni duuh kweli udom ni chuo cha kata

Mkuu mbona majungu ya nini? unauhakika hujaona chuo cha udom? acha ushabiki suio na tija basi ndugu haupendezi. There is no one who can go straight a way with success, siku zote mwanzo huwa mgumu, hata katika safari ya maisha ya mwanadamu, ukikuta mtu kafanikiwa, muulize alianzaje, hautaamini. Kwahiyo, udom bado ni chuo kichanga, kinaendelea, na baada ya muda hautaamini kitatoa watu wazito na wakubwa sana nchi hii na hata kimataifa. Ki ushabiki hautanielewa na inawezekana ukanipinga, lakini kiuhalisia ndivyo hali ilivyo. Shule za kata zilipoanza, watu walizikashifu sana, na wengine wakaziona hazistahili, lakini leo hii, matunda yake yapo, na kwa sisi watoto wa wakulima, tunaona ni neema kwetu, tumesoma shule hizohizo ambazo watu walizisema sana, kuna wakati tulikata tamaa lakini leo hii, ashukuriwe Mungu wa mbinguni, tumefika mbali sana ambako hatukutaraji. So kusoma ud, ama sua sio hoja wala ndo kufanikiwa, ni majina tu, but the content remains to a concerned, juhudi za mtu na malengo, na umahili wake ndivyo vitakavyomkomboa, na wala sio kwa kusoma sua. Binafis navipenda vyuo na shule zote za tanzania, being it a private or government. Naamini katika malengo yanayompeleka pale mtu kusoma, na siyo kwa sababu ya jina. A name is nothing.
 
Hiki ndicho wasomi wa nchi hii wanaweza fanya, sijajua tatizo ni mfumo wa elimu yetu ya sasa au ni ulimbukeni wa vijana wetu au utandawazi. Mungu inusuru tz

Acha tu mkuu, tunahitaji neema ya Mungu itukomboe vijana wa taifa hili, maana imekuwa shida, watu hawaelewi sijui, jina la chuo halikupi kazi kijana amka, uwapo chuo chochote kile, timiza wajibu wako sawasawa, utimize malengo yako na mwisho wa siku upate mafanikio na hiyo ndiyo sifa ya kuwa umesoma. Siyo kujisifu kwa kusoma chuo fulani is none sense!
 
Naomba kujua ni chuo gani kinatoa corse ya clinical oficer mikoa ya mbeya na iringa.
 
Kula tano mkuu hawa watoto hawachambi wanatuletea mavi tu
 
HII NDO LIST YA VYUO 17 VINAVYOONGOZA KWA KUTOA ELEMU BORA BONGO, JE CHUO CHAKO KIPO?

Note: Huu ni mpangilio binafsi na si pendekezo la JF.

CHEKI HAPA
1 University of Dar es Salaam .
2 Sokoine University of Agriculture
3 Muhimbili University of Health and Allied Sciences
4 The Hubert Kairuki Memorial University
5 St. Augustine University of Tanzania
6 Tumaini University
7 The University of Dodoma
8 Ardhi University
9 St. John's University of Tanzania
10 Teofilo Kisanji University
11 The State University of Zanzibar
12 Mount Meru University
13 Mzumbe University
14 Zanzibar University
15 The University of Arusha
16 Muslim University of Morogoro
17 International Medical and
Technological University

Mbona hivi sivion kwenye hiyo list?
1.tandahimba university
2.gezaulole university
3.ndanda university
4.mtakuja university
5.mbamba bay university
6.longido university
7.chake chake university
8.ujiji university
9.kondoa university
10.tarime university
11...
12...
13...
14...
15...
.
.
.
.
.
.
 
Huu ni mjadala ambao hata tukijadili miaka mitano, we wont conclude, simply because kila mmoja anavutia upande wake na anaamini chuo alichosoma au anachosoma yeye ndio the best, thats why he is or he was there. But, frankly speaking, jina la chuo sio kigezo, what matters ni wewe mwenyewe msomi. Unaweza hata ukawa UD, but kichwani huna kitu na ukawa umebebwa na jina la chuo ukajiona uko vizuri. Na tatizo jingine ni kwamba, kuna vitu ambavyo ukihitaji kuvisoma hutavipata hapo UD, no matter how best it is. Kwa mfano, mtu anayetaka kusomea mambo ya BIMA (INSURANCE), ni lazima aende IFM hata kama anaipenda UD kiasi gani. Na anayetaka udaktari, ataenda MUHAS au IMTU. I hope nimeeleweka.


Sent from my iPad using JamiiForums app
 
Back
Top Bottom