Vyuo 17 bora Tanzania, Je chuo chako kipo?

dogo haujielewi kabisa chuo ni bora kutokana n kozi mfano biashara n economics mzumbe hawajambo wanafuatiwa n udsm n muccobs afu swala zma la construction uclas(ardhi) mpango xna mfano building economics ipo ardhi n kenya 2 africa mashariki n kati afu sheria udsm wakifuatiwa n tumaini mambo ya engeneerin udsm hakunaga medicine n mambo ya udaktari muimbili inatisha ikifuatiwa n hubert then kcmc umeona mgodo wangu lakini over all udsm sokoine muimbili n hubert ogopaa sana ni kwa sababu unchunguzi huwa unaanggalia zaidi idadi ya maprofeseri katika chuo

no comment,true
 
hongera kwa juhud yako ila mm sikubalian na list hio,,,dit,lazma kiwemo tu,,,ifm,,,st joseph,,,,,,,umetumia vigezo gani hasa,!?
 
Umenena mkuu kuhusu udsm na sua hakuna atakaye kohoa
dogo haujielewi kabisa chuo ni bora kutokana n kozi mfano biashara n economics mzumbe hawajambo wanafuatiwa n udsm n muccobs afu swala zma la construction uclas(ardhi) mpango xna mfano building economics ipo ardhi n kenya 2 africa mashariki n kati afu sheria udsm wakifuatiwa n tumaini mambo ya engeneerin udsm hakunaga medicine n mambo ya udaktari muimbili inatisha ikifuatiwa n hubert then kcmc umeona mgodo wangu lakini over all udsm sokoine muimbili n hubert ogopaa sana ni kwa sababu unchunguzi huwa unaanggalia zaidi idadi ya maprofeseri katika chuo
 
dogo haujielewi kabisa chuo ni bora kutokana n kozi mfano biashara n economics mzumbe hawajambo wanafuatiwa n udsm n muccobs afu swala zma la construction uclas(ardhi) mpango xna mfano building economics ipo ardhi n kenya 2 africa mashariki n kati afu sheria udsm wakifuatiwa n tumaini mambo ya engineering udsm hakunaga medicine n mambo ya udaktari muimbili inatisha ikifuatiwa n hubert then kcmc umeona mgodo wangu lakini over all udsm sokoine muimbili n hubert ogopaa sana ni kwa sababu unchunguzi huwa unaanggalia zaidi idadi ya maprofeseri katika chuo

umesaha MPUGUSO na ILONGA TTC kwa waalimu mkuu
 
Chuo gani ni rahisi sana kupata first class.Nataka kusoma Law miaka 3 nipate first class.L
 
enheeeeeeeeeeeeee mmeona athari za matokeo ya standardization ya form six mwaka huu ndo huyo anakuja na topic za fb, rudi huko kwa watoto, na kama ni graduate huna mental liberation, elimu sahihi ni ya ugunduzi hatutaki A's za kwenye makaratasi, elimu iwakomboe mfanye kaz kwa bidii mvumbue vifaa vya kisayansi, nendeni kwa babu yangu s'wanga awaambie ndege aliyoitengeneza inayotumia damu tutumie gesi ya mtwara itengenezwe iwe kubwa tusafiri wakati wa mchana hii ndo elimu, tuna chuo vikuu fani za sheria bado tunaibiwa, fani za kilimo bado kuna njaa, fani za afya tunahitaji msaada wa vyandarua, fani za elimu form one zaid ya 6000 hawajui kusoma, kuandika wala kuhesabu bado unasifu chuo, mburura weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
unasoma/unasoma chuo cha kataa wewe ndo maana una hasiraa sanaa
 
  • Thanks
Reactions: keh
nna mpango masterz nije hapo maana ntapiga part time nkiwa job

njoo mkuu, open ni bonge la chuo kwa wanaojituma! Ila wavua sketi hawawezi, maana hapa uso mbuzi tu! Quality education for all, me namalizia master ..... Hapa out
 
asi
enheeeeeeeeeeeeee mmeona athari za matokeo ya standardization ya form six mwaka huu ndo huyo anakuja na topic za fb, rudi huko kwa watoto, na kama ni graduate huna mental liberation, elimu sahihi ni ya ugunduzi hatutaki A's za kwenye makaratasi, elimu iwakomboe mfanye kaz kwa bidii mvumbue vifaa vya kisayansi, nendeni kwa babu yangu s'wanga awaambie ndege aliyoitengeneza inayotumia damu tutumie gesi ya mtwara itengenezwe iwe kubwa tusafiri wakati wa mchana hii ndo elimu, tuna chuo vikuu fani za sheria bado tunaibiwa, fani za kilimo bado kuna njaa, fani za afya tunahitaji msaada wa vyandarua, fani za elimu form one zaid ya 6000 hawajui kusoma, kuandika wala kuhesabu bado unasifu chuo, mburura weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

basi hata A za makaratasi huna alafu unamwita mwenzio mburula,.alaf inaonesha upo chuo ambacho hukukipenda,
 
unasoma/unasoma chuo cha kataa wewe ndo maana una hasiraa sanaa

siwezi kuwa na hasira nimesoma philosophy najitambua sana, tatizo nyiniyi watoto mnachojua ni kusoma chuo fulani ndio ubora wa mhitimu si hivyo alafu mm nilimaliza undergraduate kitambo sana na sasa nipo MA ng'ambo hata O-Level nilifanya vema Div II point 18 advance Div I ya 5, Bachelor 4.4 first class kazi tutorial assistant hizo A ninazo za kutoosha zaidi ya 20 tangu nianze secondary, so hizo kelele zenu hazina tija na ndio maana nimekuambia elimu bora itatue societal problems wanaojitambua nadhan wananielewa, Harvard katika rank kiko number one na kimetoa magwiji wengi wanaojitambua na watatuzi wa mambo ya wanajamii, wabongo acheni kulewa sifa ongezeni juhudi zitakazokomboa taifa letu lenye umaskini wa kutisha, tangu uhuru mikoa mingi haina umeme wa uhakika bado mnasifia elimu isiowasaidia kitu. kweli elimu ya utambuzi kwenu wenye mawazo mgado inahitajika.
 
asi

basi hata A za makaratasi huna alafu unamwita mwenzio mburula,.alaf inaonesha upo chuo ambacho hukukipenda,

soma CV yangu katika post iliyotangulia utaona na itakusaidia

0-level MBEYA SECNDARY SCHOOL, DIV II POINT 18, B=3, C=7,
A-level SONGEA BOYS SECONDARY SCHOOL, DIV I POINT 5, A=1, B=2
BACHELOR DEGREE, UNIVERSITY OF DAR-ES-SALAAM , FIRST CLASS GPA 4.4 MORE THAN 19 A's
currently (STUDENT) MA OF EDUCATIONAL SCIENCE AND TECHNOLOGY, UNIVERSITY OF TWENTE NETHERLANDS
 
mikwara kibao mwenzio
o'level- pugu secondary dv 1 pt16
a'level- ndanda boys EGM dv3 pt 10 (penalt ya gs effect)
chuo- ardhi university SCEM..!
WEWE UMENIZID MWAKA WA KUZALIWA TUU..!! BY THE WAY JIKAZE TUU HIYO PHILOSOPY YAKO ITAKUTOAA TUU...!

@Cc ; Mbrazili
 
Last edited by a moderator:

a'level comb gan?
 
Darius tupo pamoja,the same to me,lakn huyu jamaa alipiga comb gan?,ndo yupo philosophy
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom