ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 151
unaposema wasomi unakosea....ungesema baadhi ya wasomi ingekua poa zaidi!!!Hiki ndicho wasomi wa nchi hii wanaweza fanya, sijajua tatizo ni mfumo wa elimu yetu ya sasa au ni ulimbukeni wa vijana wetu au utandawazi. Mungu inusuru tz