Vyumba vimejaa........

Vyumba vimejaa........

Status
Not open for further replies.
Ikifika saa 2 za usiku vyumba vitakua wazi,wageni wa dar wanatoka DAR wanaenda DAR
 
Kila "guest" ninayo enda hapa dar naambiwa vyumba vimejaa najiuliza kwa nini iwe leo tu tena siku ya "xmass".....???

Hivi kama unaulizia fundi nguo, halafu ukajibiwa "Mafundi Wamejaa Kibao" maana yake ndio WAPO au HAWAPO??

Vyumba Vimejaa yaani vimejaa kibao mitaani.
 
Vimejaa kwa sababu watu ni wengi waliohitaji huduma ya vyumba kama wewe....!
 
watu wa mjini wengi wetu tunakula vyakula vibovu ndio maana nguvu zinakuwa -1.tafuteni dawa za kuharisha kisha muanze kula matunda,unga usiokobolewa na kula samaki wabichi kisha mtasema wenyewe ila nyama nyekundu msipende kula ikiwezekana acha kabisa

Samaki wabichi?
 
siku ya leo imegeuzwa kuwa siku ya maovu kwa baadhi ya watu,..
 
wageni wengi wamekuja dar kupumzika mkuu ila cjui wewe km mwenyeji ulifuata nini mwenzetu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom