we gogo wakt mwingine halina ratiba maalumuKwani kwenda huko vipi si kuna ratiba maalum kwa mtu ambaye mfumo wake wa kula uko sawa? Asubuhi ukiamka, na ndio unamaliza shida zako zooote kuswaki, kuoga ama ni ile fyekefyeke kama mtoto ambaye afya yake ni mgogoro?
sivipendi hasa nyakati za baridi. kama wasiwas wako maji cha kufanya uwe unasoge kwa mbele kidogo ili mzigo uwe unafikia kwenye kale ka sakafu kabla mzigo haujafika kwenye maji.
ikishindikana nunua pepa za kutosha kabla hujakata gogo kata hizo TP weka kwenye hayo maji kisha shusha mzigo wako inapunguza kidogo.
swala linaluja kujisafisha huko kwa maji ... inabidi kusubiri wakat wa kuoga qudadeq
hahaahha halafu mzigo huo utakuwa hautoki woteMimi huwa nikikuta choo cha namna hiyo huwa sikai!nasimamia kucha tu
hapana mdog wanguWewe sio mzoefu?[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Umesemaa??Jamani kukata gogo kuna raha yake, tena liwe gogo gumu ambalo utatumia nguvu kupush.
Kwenye vyoo vya kuchutama ndio uwanja wake[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
mie cha shimo natumiaWe unatumia kipi mkuu
Ngoja nije kwanza huko mjini nione..Huku City Centre tufanyeje sasa....
Mkuu utavunja sasa, unataka usimame juu yake haaahaawakati wa kutawaza huwa sijui nikipande kwa juu huku nimechutama ,au nichuchumae chini
Endelea kutumia mda si mrefu uwaungishe dawa za kutibu fangusi, UTI na mengine mengiHabari wakuu,natumai mko vyedi kabisaa katika harakati za kusaka noti.Niende kwenye point,hivi karibuni nilikuja hapa jf nikaandika uzi wa kutafuta chumba so baada ya muda nikapata,sasa kimbembe hii room ina choo cha kukaa (KINU).
kiukweli toka nizaliwe sijawahi kuishi nyumba yenye choo cha aina hii,hivyo matumizi yake ni mtihani kwangu.
Kukaa napata shida mara ndonga iingie kwenye maji,mara mzigo ukishuka kwa uzito wa hali ya juu unasababisha mlipuko wa maji yananirukia makalioni dah,yani napata tabu sana kifupi mpaka nimekua nikienda kutumia choo cha kuchutama kwa rafiki yangu wa karibu.
Kazi njema wote.
Pori nouma !! Huko kuna vifutu [emoji216] [emoji236]Bora porini tuu...
SawaNgoja nije kwanza huko mjini nione..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umesemaa??
Sawahapana mdog wangu
Ahahahaaii Gogo mzee [emoji12]Ndoga ndo nini?? Samahani lakini
Hahaa pole mkuuHabari wakuu,natumai mko vyedi kabisaa katika harakati za kusaka noti.Niende kwenye point,hivi karibuni nilikuja hapa jf nikaandika uzi wa kutafuta chumba so baada ya muda nikapata,sasa kimbembe hii room ina choo cha kukaa (KINU).
kiukweli toka nizaliwe sijawahi kuishi nyumba yenye choo cha aina hii,hivyo matumizi yake ni mtihani kwangu.
Kukaa napata shida mara ndonga iingie kwenye maji,mara mzigo ukishuka kwa uzito wa hali ya juu unasababisha mlipuko wa maji yananirukia makalioni dah,yani napata tabu sana kifupi mpaka nimekua nikienda kutumia choo cha kuchutama kwa rafiki yangu wa karibu.
Kazi njema wote.
Mimi najua wanaume huwa hamkagi gogo..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe umeelewaje?