Vyoo vya kukaa vimenishinda

Vyoo vya kukaa vimenishinda

ANKO JEI

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
1,319
Reaction score
2,502
Habari wakuu,natumai mko vyedi kabisaa katika harakati za kusaka noti.Niende kwenye point,hivi karibuni nilikuja hapa jf nikaandika uzi wa kutafuta chumba so baada ya muda nikapata,sasa kimbembe hii room ina choo cha kukaa (KINU).

kiukweli toka nizaliwe sijawahi kuishi nyumba yenye choo cha aina hii,hivyo matumizi yake ni mtihani kwangu.

Kukaa napata shida mara ndonga iingie kwenye maji,mara mzigo ukishuka kwa uzito wa hali ya juu unasababisha mlipuko wa maji yananirukia makalioni dah,yani napata tabu sana kifupi mpaka nimekua nikienda kutumia choo cha kuchutama kwa rafiki yangu wa karibu.

Kazi njema wote.
 
Kipindi nasoma Udsm hostel zilikuwa na vyoo vya kukaa kwa kweli ikinipasa kutumia vyoo vya kanisani na msikitini kwa huu ujinga
undefinedkama unaogopa kurukiwa maji,na kwakweli kiafya haifai kama mko watumiaji zaidi ya mmoja,angalia namna ya ukaaji ili ukitumbukiza choo kisiende majini,kaa hadi mwisho ili kinyesi kitue kwanza kwenye kuta kisha flush
 
Back
Top Bottom