Vyombo vya Ulinzi hawa watu hadi leo wanatapeli Wananchi kwa maigizo ya mafanikio bado wanaangaliwa

je parle

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,881
3,619
Nina masikitiko makubwa kuona kuwa vijana wanakuwa matapeli kila kukicha .Na vyombo vya ulinzi vimepiga kimya as if hakuna kinachoendelea. Sasa hivi kuna vijana wakike kwa waume wanatoa ushuhuda kuwa wamefanikiwa kupitia waganda fulani na Wana weka namba zao za simu ili watafutwe na huwa mara nyingi hujifanya wapo mbali na mji kama Kilwa, Sumbawanga na n.k
Ila hawa ni vijana kabisa wapo humu humu mjini kazi yao kubwa ni kutapeli wananchi.

Hadi nimeamua kuandika huu uzi ni kuwa katika pitapita zangu instagram nikaona tangazo Instagram nikasema ngoja nipige simu nipate tiba ila lengo langu ni kuongea na huyo mganga ili nijue. Kweli nikapiga lakini sauti haikuwa ya kike kabisa ni km mwanaume alijifanya kuongea kama mwanamke nikaguna mmmh hapa wanapigwa watu wengi sana kwa hiii style yake mana mganga yupo Kilwa lakini yupo updates kinoma alafu bibi kizeee.

Note:
Vijana hakuna utajiri wa kwa waganga ni uzushi na ujinga watu wajitahidi kupambana kutafuta vya halali kakuna njia ya mkato katika maisha.

Vyombo vya ulinzi pia vijitahidi kuwapa adhabu kali hawa vijana mana wanafanya maisha yanakuwa magumu.

Nimeambatanisha video moja hapo ili kama kuna mtu hajawai kuona hiyo aina ya matapeli ajue kabisa mana hao huwa hawana ofisi unatibiwa tu kwenye simu.

Hujiulizi anatoa utajiri mbona yeye anataka hela kwanza ndio akupe utajiri?

Tunaweza wlaum hao matapel lkn ata cc wenyew n tatizo, vijana wamekua waviv sn kias hawatak kufny kaz ila wanatak mal na ndio mana ata michzo ya betting imezid na ime7bisha vjn kuwa wez ili wapate pesa za ku bet na hkn ushahd kam yupo alefankiw kwa njia izo za s/cut.......!!
 
I see, hii nchi inapelekea watu kuwa wabunifu kupita kiasi, hii yote ni sababu ya maisha magumu.
 
Wajinga hawaishi...atawapata tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina masikitiko makubwa kuona kuwa vijana wanakuwa matapeli kila kukicha .Na vyombo vya ulinzi vimepiga kimya as if hakuna kinachoendelea.Sasa hivi kuna vijana wakike KWA waume wanatoa ushuhuda kuwa wamefanikiwa kupitia waganda fulani na Wana weka namba zao za simu ili watafutwe na huwa mara nyingi hujifanya wapo mbali na mji kama Kilwa, Sumbawanga na n.k
Ila hawa ni vijana kabisa wapo humu humu mjini kazi yao kubwa ni kutapeli wananchi.

Hadi nimeamua kuandika huu uzi ni kuwa katika pitapita zangu instagram nikaona tangazo Instagram nikasema ngoja nipige simu nipate tiba ila lengo langu ni kuongea na huyo mganga ili nijue. Kweli nikapiga lakini sauti haikuwa ya kike kabisa ni km mwanaume alijifanya kuongea kama mwanamke nikaguna mmmh hapa wanapigwa watu wengi sana kwa hiii style yake mana mganga yupo Kilwa lakini yupo updates kinoma alafu bibi kizeee.

Note:
Vijana hakuna utajiri wa KWA waganga ni uzushi na ujinga watu wajitahidi kupambana kutafuta vya halali kakuna njia ya mkato katika maisha.

Vyombo vya ulinzi pia vijitahidi kuwapa adhabu kali hawa vijana mana wanafanya maisha yanakuwa magumu.

Nimeambatanisha video moja hapo ili kama kuna mtu hajawai kuona hiyo aina ya matapeli ajue kabisa mana hao huwa hawana ofisi unatibiwa tu kwenye simu.

Hujiulizi anatoa utajiri mbona yeye anataka hela kwanza ndio akupe utajiri?

Madalali wa ulozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina masikitiko makubwa kuona kuwa vijana wanakuwa matapeli kila kukicha .Na vyombo vya ulinzi vimepiga kimya as if hakuna kinachoendelea. Sasa hivi kuna vijana wakike kwa waume wanatoa ushuhuda kuwa wamefanikiwa kupitia waganda fulani na Wana weka namba zao za simu ili watafutwe na huwa mara nyingi hujifanya wapo mbali na mji kama Kilwa, Sumbawanga na n.k
Ila hawa ni vijana kabisa wapo humu humu mjini kazi yao kubwa ni kutapeli wananchi.

Hadi nimeamua kuandika huu uzi ni kuwa katika pitapita zangu instagram nikaona tangazo Instagram nikasema ngoja nipige simu nipate tiba ila lengo langu ni kuongea na huyo mganga ili nijue. Kweli nikapiga lakini sauti haikuwa ya kike kabisa ni km mwanaume alijifanya kuongea kama mwanamke nikaguna mmmh hapa wanapigwa watu wengi sana kwa hiii style yake mana mganga yupo Kilwa lakini yupo updates kinoma alafu bibi kizeee.

Note:
Vijana hakuna utajiri wa kwa waganga ni uzushi na ujinga watu wajitahidi kupambana kutafuta vya halali kakuna njia ya mkato katika maisha.

Vyombo vya ulinzi pia vijitahidi kuwapa adhabu kali hawa vijana mana wanafanya maisha yanakuwa magumu.

Nimeambatanisha video moja hapo ili kama kuna mtu hajawai kuona hiyo aina ya matapeli ajue kabisa mana hao huwa hawana ofisi unatibiwa tu kwenye simu.

Hujiulizi anatoa utajiri mbona yeye anataka hela kwanza ndio akupe utajiri?

Kule Iringa kama sijakosea Njombe hao wapiga debe wawili wanitwa ndundami
 
Back
Top Bottom