Vyombo vya Habari vinavyotaka kuchapisha kesi ya Lissu vipeleke maombi mahakamani

Vyombo vya Habari vinavyotaka kuchapisha kesi ya Lissu vipeleke maombi mahakamani

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
844
Reaction score
1,608
Vyombo vya Habari vinavyotaka kuchapisha habari kuhusu commital proceedings lazima vipeleke maombi mahakamani.

Ndio basi kesi imeingia gizani. Tutakuja tu kusikia hukumu. Wanaficha hapa, na wakienda mahakama kuu pia ni kificho. Hii ni unprecedented katika nchi ya "kisiwa cha amani"

 
Haaaaaaaaaaaaaa nacheka kama mazuri sio kwa panic hiyo wao sindio waliamua kufungua kesi sasa wanahangaika nini? Nchi ya Kusadikika.
 
Back
Top Bottom