Vyombo vya habari Tanzania vimenishangaza

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,144
Reaction score
48,371
Tarehe 29/10/2025 ilikuwa kama vile hakuna vyombo vya habari Tanzania.

Matukio yote yaliyotokea na siku zilizofuata hayakuonekana kwenye vyombo vyetu vya habari na wala mjadala haukufanyika.

Lakini Jana mpaka Leo vyombo vyetu vya habari vimetumia muda mwingi kutuhabarisha kuwa hakuna maandamano.

Hivi vyombo vyetu vya habari havikuona chochote kilichotokea kuanzia tarehe 29Oktoba na kuendelea?
 
Ngoja niwaulize TEF.
 
Vyombo vyenyewe itv na TBC, sasa unategemea nn
 
Tarehe 29/10/2025 ilikuwa kama vile hakuna vyombo vya habari Tanzania.

Matukio yote yaliyotokea na siku zilizofuata hayakuonekana kwenye vyombo vyetu vya habari na wala mjadala haukufanyika.

Lakini Jana mpaka Leo vyombo vyetu vya habari vimetumia muda mwingi kutuhabarisha kuwa hakuna maandamano.

Hivi vyombo vyetu vya habari havikuona chochote kilichotokea kuanzia tarehe 29Oktoba na kuendelea?
Wamepata somo wamejifunza na wameonesha kuwa kweli wanajutia walichokifanya siku za nyuma

Kuna nini kingine??
 
Kuna vyombo vya habari nchi hii au toilet papers za watawala?
 
Tarehe 29/10/2025 ilikuwa kama vile hakuna vyombo vya habari Tanzania.

Matukio yote yaliyotokea na siku zilizofuata hayakuonekana kwenye vyombo vyetu vya habari na wala mjadala haukufanyika.

Lakini Jana mpaka Leo vyombo vyetu vya habari vimetumia muda mwingi kutuhabarisha kuwa hakuna maandamano.

Hivi vyombo vyetu vya habari havikuona chochote kilichotokea kuanzia tarehe 29Oktoba na kuendelea?
Usishangae, ni strategy ya nchi. Siyo kila taarifa ni ya kushare nje.

Na hiyo imetusaidia sana kama Taifa kubaki imara
 
Nje ni wapi? Na nani anayeamua hii ni ya kushea na hii si kushea?

Halafu wewe uimara wa nchi unaupimaje?
 
Kama wangelitangaza, kwa sasa wangelikuwa katika hali gani?
 
Back
Top Bottom