Nkarahacha
Member
- Oct 3, 2023
- 25
- 47
VItuo vya Tv na Redio ukitazama au kusikiliza huwezi kusikia kiashiria chochote kuhusu siku ya leo ikiwa ni kumbukumbu ya miaka minne ya kifo cha John Pombe Magufuli ila mitandao ya kijamii kila sehemu lazima ukutane na taarifa hii.
Serikali nayo kama haijui kinachoendelea labda kiongozi mmoja mmija kwa kujiongeza ndo anaamua kumkumbuka kwa namna yake na wengine wameenda chato kwenye Misa.
R.I.P JPM Mwamba.
Serikali nayo kama haijui kinachoendelea labda kiongozi mmoja mmija kwa kujiongeza ndo anaamua kumkumbuka kwa namna yake na wengine wameenda chato kwenye Misa.
R.I.P JPM Mwamba.