Zanzibar 2020 Vyombo vya Habari kimataifa vimeanza kuripoti mauaji huko Pemba

Risasi hutumika pale ambapo hakuna namna nyingine ya kuthibiti hali na hiyo ipo kwa mujibu wa sheria hakuna anayefurahia kifo ila ni jukumu la kila mmoja kijitahidi kuepukana na mazingira ambayo yanaweza msababishia kifo.
Mlizompiga lisu mlikuwa mnathibiti nini mpaka mtake kuuwa? Miuwaji utaijuwa tu damu za watu zinawafanya muweweseke sana
 
BBC swahili naipata vp wakuu?? local channel ipi tv inaungana nao
 
Kwa muda mrefu sana kutunga uwongo na sio propaganda ndio imekuwa njia ya kuendesha vyama vya upinzani, muda wa hesabu umefika tutaanza kufanya siasa za ushindani wa kweli.

Mbowe biashara imekuwa ngumu na haitajiki tena kwenye siasa za upinzani.
 
Kwa muda mrefu sana kutunga uwongo na sio propaganda ndio imekuwa njia ya kuendesha vyama vya upinzani, muda wa hesabu umefika tutaanza kufanya siasa za ushindani wa kweli.

Mbowe biashara imekuwa ngumu na haitajiki tena kwenye siasa za upinzani.
Haumhitaji wewe
 
Bado masaa tuu, kesho saa 4 asubuhi CCM kura million 20 chadema laki 4 , mdogo mdogo mpaka jioni Chadema wametepeta. CCM oyeeeeee
 
Kufa Akhy
Tutakufa sote,imma kwa njia hii au njia nyengine
Kila jambo Mola wetu amelipanga kwa makusudio
Unataja Mola bila aibu.kwa hiyo watu wanavyopigwa risasi ni haki?.kama Kamola kenu kamepanga kuuwa watu Kwa risasi ndiyo maana mnapiga watu risasi na kuwauwa na mkitekeleza maagizo ya kamola kashenzi. Sikia MOLA AMBAYE NI MTAKATIFU HAUSIKI NA UNYAMA MNAOUFANYA
 
Hili si jambo la kufanyia mzaha kabisa

Ni muda sio mrefu tumepata taarifa juu ya mauaji ya watu watatu huko Pemba na kikosi cha polisi.

Na hivi sasa vyombo vya habari vya kimataifa vimeanza kuripoti juu ya tukio hili ambalo kwa vyovyote litatia doa nchi na kupelekea waangalizi wakubwa wa kimataifa kujiridhisha kua kuna uminywaji wa Demokrasia na haki za binadamu, watu wanataka madaraka kwa nguvu japo watu wameamua kupiga kura ya mabadiliko lakini inavyoelekea chama tawala hawawezi kukubali hilo.

Hii itoshe tu kusema kua habari zimeanza kusambaa dunia nzima.

NAWAPA POLE SANA WAFIWA ILA Pamoja na changamoto tunayopitia,
Ifike wakati tujue kuwa askari yupo kazini kulinda na kujilinda na kile alichobeba mkononi sio fimbo.
Ukisha jua alichobeba kinamatumizi gani, kaa ukijua kuwa UKIJITOA UFAHAM na kuhatarisha usalama wake kitatumika.
Utashangaa watu wanafuata mkumbo na kujitoa ufaham kwa kuwapiga mawe Polisi tena wenye silaha.......ungekewa wewe watu 300 wakianza kuwapiga mawe na Askari mpo sita hivi na mkipiga risasi juu na mabomu ya machozi hawakikimbii mngesubiri tu muuwawe sio?
 
Unataja Mola bila aibu.kwa hiyo watu wanavyopigwa risasi ni haki?.kama Kamola kenu kamepanga kuuwa watu Kwa risasi ndiyo maana mnapiga watu risasi na kuwauwa na mkitekeleza maagizo ya kamola kashenzi. Sikia MOLA AMBAYE NI MTAKATIFU HAUSIKI NA UNYAMA MNAOUFANYA
Watu wameanza kupigwa risasi baba yako hajazaliwa na watapigwa tuu hata miaka 50 baada ya wewe kufa. Nilifikiria kupewa Urais kumbe kupigwa risasi? Kichwa ngumu piga nondo mpaka wanyooke.
 
Mnadanganya na jicho bovu eti askari wanabeba fimbo. Subirini muone kama ni fimbo au kitu kingine. Kesho saa nne asubuhi wataanza maji kuyaita mma. Wapuuzi wajibu kwa upuuzi.
 
Watu wa Zanzibar wana uelewa mkubwa zaidi kuliko wa bara
Lakini kwanini wa zanzibar wako tayari kwa lolote kuliko watu wa bara? Ukisikiliza Aljazeera na CNN unaweza akadhani uchaguzi uko zanzibar tu na wazanzibari ndo wanaochukia ukandamizaji wa CCM peke yao, kumbe Bara ni mara mbili yake ila tuko kimya sanaa
 
Star TV wame skip habari ya Zanzibar ya saa 3 ya BBC ikisema vimetokea vifo vya raia 9 huko Zanzibar
 
Sawasawa, siogopi, nitapiga kura na kulinda yangu. Hata nikiuawa najua siku moja watoto wangu watakuwa na maisha mazuri kwa sababu nilitoa mchango katika Mapinduzi ya kweli nchini
Utakufa Bure ety kisa hutak ujinga "" ingia road kaandamane kesho cha Moto utakiona. acha uchama na uwe ufikirie logically"
 
Sawasawa, siogopi, nitapiga kura na kulinda yangu. Hata nikiuawa najua siku moja watoto wangu watakuwa na maisha mazuri kwa sababu nilitoa mchango katika Mapinduzi ya kweli nchini
Mapinduzi unayajuwa wew izo ni kelele za chura Mzee" temba akiwa anakunywa maji hata hatishiki ... isitoshe ukikaa vibaya tembo anakukanyaga anatembea zake mbeleee.

N.B/ Sina chama ila Kura yangu kwa JOHN PM.
siwez nikachagua raisi mjuaji na shoga Kama Lissu Miminaannzaje Sasa kwanza ni laana ata kwa Mungu aiseee."
 
Mjuaji na shoga kivipi?? Embu fafanua???

Huwezi kusema wewe sio Ccm alafu ukampigia kura mtu huyo muuaji na fedhuli. Labda kama akili yako haiko sawa!
Mapinduzi unayajuwa wew izo ni kelele za chura Mzee" temba akiwa anakunywa maji hata hatishiki ... isitoshe ukikaa vibaya tembo anakukanyaga anatembea zake mbeleee....



N.B/ Sina chama ila Kura yangu kwa JOHN PM.
siwez nikachagua raisi mjuaji na shoga Kama Lissu Miminaannzaje Sasa kwanza ni laana ata kwa Mungu aiseee..."
 
Bara kuna wajinga na wachumia tumbo wengi sana. Ujinga na uchumia tumbo unasababisha uoga
Hizi shamra-shamra kiasi tunazoona bara wakati huu ni kwa sababu ya ujio wa mbeba maono, mzalendo na jasiri LISU.
Hicho kinachoendelea zanzibar kingewezekana kama kila mkoa Bara kungepatikana LISU wawili hivi
LISSU MZALENDO???? UKO DUNIA YA WAPI? KIBARAKA ANAYETAKA KUUZA MALI ZETU KWA KUWEKA REHANI ATAKUWAJE MZALENDO? BADO MASAA MACHACHE TUU TUNAENDA KUWAONYESHA KUWA TANZANIA NI YA WATANZANIA NA SIYO YA TRIPPI, AMSTERDAM, SMITH. HATUDANGANYIKI KAMWE.
 
Back
Top Bottom