Zanzibar 2020 Vyombo vya Habari kimataifa vimeanza kuripoti mauaji huko Pemba

Naomba na Jamii forums Ifungwe ccm oyee, swali kama sisi ccm tunakubalika hofu ya nn tuachie tu mitandao kwann tutese wananchi kukosa mawasiliano, hii inadhiirisha kwamba watu hatuna uhuru siku yeyote wakisikia kuzima wanazima
 

Attachments

  • 160301-al_mahdi-cc-19.jpg
    160301-al_mahdi-cc-19.jpg
    9 KB · Views: 1
Ajabu Zanzibr

Wapiga kura wote ni Laki 5 lakini Kura siku 2

Bara wanapiga kura Milioni 29 kura siki 1

Pamoja na yote haya Kura ilitakiwa ianze leo Asubuhi Wao CCM wamepiga Jana Usiku Saa 4.

Mawakala wa Upinzani hawakuwemo na hadi hivi sasa hawajapewa Vitambulisho vya kuingia kwenye vituo,

Kura ya Mapema CCM wamepiga wakiwa peke yao bila ya mawakala wa Upinzani.

Hata Mgombea Uraisi Maalim Seif Katimuliwa,

Huku Polisi wakivinjari Mitaani na Mobomu .

Kule pemba Ndio Hivyo Zaidi ya watu 3 wameuwawa

Pamoja na wizi woote huo wakija kuhisabu kura wakishindwa watapindua Matoke,

HII NDIO ZANZIBAR , YAJAYO YANASIKITISHA.


MIMI NIKO ENEO LA TUKIO DARAJANI ZANZIBAR, HIVI SASA NDIO MABOMU YAMESIMAMA NA POLISI WAMEKWENDA KUPUMZIKA BAADA YA SHUGHULI YA USIKU WA JANA NA MCHANA WOTE LEO.

CCM wanajiibia wenyewe , jeshi lao,tume yao, wasimamizi wao, na mwisho wa siku maamuzi ni yao. Vyombo vya habari vyao pamoja na yote hayo Hawajiamini,
 
Wakati mwingine uwe unatumia akili

huyo ni mlevi..usibishane na vibaraka wa ccm walevi..atashaa na roho yake umasikin si wake na familia yake
watanzania mamilioni kwa mamilioni tunaenda kuandika historia
waliyetaka kumuua , Mungu akasema mimi ndiye Mungu muumba mbingu na ardhi na vilivyomo, ninaenda kumkalisha Lissu katika kiti cha URAIS
 
Lakini kwanini wa zanzibar wako tayari kwa lolote kuliko watu wa bara? Ukisikiliza Aljazeera na CNN unaweza akadhani uchaguzi uko zanzibar tu na wazanzibari ndo wanaochukia ukandamizaji wa CCM peke yao, kumbe Bara ni mara mbili yake ila tuko kimya sanaa
Hata wewe uko kimya, unangoja nani awe mstari wa mbele wakati wewe umejificha JF
 
Back
Top Bottom