Vyombo vingi vya habari vya nje Vimepotosha kuwa Rais Magufuli ndiye aliyemkamata Ney wa Mitego

Haya yote yameletwa na nyie wananchi, mnaopenda kumsingizia Rais wetu kila jambo kutokana na uroho wenu.

Mtanyooka tu

Hapa kazi tu
 
Ulitaka Rais mwenyewe ndye aende amtie pingu ampandishe kwenye defender amfikishe sello ampige kufuliii?
 
Mkiona raha kuandikwa "...Magufuli amekamata makontena bandarini" basi vumilieni ikiandikwa "...Magufuli kakamata watu!!!
 
Sasa kwani sio kweli?? Lolote linalofanywa na chombo cha serikali kama polisi ni kwa amri ya wakuu Wao ambao pia wameamriwa toka kwa bosi Wao mkubwa..sasa jiulize bosi Wao mkubwa ni nani??
 
Sasa kama polisi wamemkamata na Rais ni Amiri Jeshi mkuu utatofautishaje na Rais?
Amiri Jeshi Mkuu hatakiwi kuagiza kilakesi ya kila Tom, Dick and Harry.

Hicho ni cheo kikubwa sana kinachotumikakwa mambo ya kimsingi na hususan kivita.
 
Na kwa mtindo unaoendelea sasa ndo watazidi kuelekeza kamera zao TZ kila kukicha mana mazingaombwa yamezidi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wakuu nimeshangazwa na Vyombo vya Habari vya Magharibi kwani kila media imeandika

"President Magufuli arrested Tanzanian Rapper over insulting him"

Hivi vyombo vinapenda mabaya tuu na Vingi bado vinaandika habari ya kukamatwa kwa Ney Wa Mitego japo ameachiwa
Hataki kukosolewa na kawaonya wakosoaji wote na wamiliki wa vyombo, watch it.
Na ukimtaja au kumuudhi Bashite tu unapigwa. Mawaziri wametumbuliwa na kushikiwa mitutu hadharani, Clouds wamefuatwa na mitutu.

Ney katoa songi inamtaja Bashite tu katiwa nguvuni. We unadhani nani kaamuru? Ni rais au Bashite no doubt. We unadhani katoa amri akamatwe huko huko Morogoro na kuletwa Dar?

Sasa watu wamechoka wakaamua kama mbwai na iwe mbwai. Wasanii wakamwaga vitu vya hatari mitandaoni ikawa noma. Mbeleko ya Bashite ikawaka moto.
 
Umeona eeh! Hili la Lema, Lissu, Mbowe, Nape na sasa Ney wa Mitego haya yote yanavifanya vyombo vya habari vya nchi za nje yaanze kufuatilia kwa karibu sana mazingaombwe yanayoendelea ndani ya Serikali ya malaika mkuu.

Na kwa mtindo unaoendelea sasa ndo watazidi kuelekeza kamera zao TZ kila kukicha mana mazingaombwa yamezidi
 
Wakuu nimeshangazwa na Vyombo vya Habari vya Magharibi kwani kila media imeandika

"President Magufuli arrested Tanzanian Rapper over insulting him"

Hivi vyombo vinapenda mabaya tuu na Vingi bado vinaandika habari ya kukamatwa kwa Ney Wa Mitego japo ameachiwa

Kila MTU anajua hataki kushauriwa wala kujaribiwa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom