Vyombo vingi vya habari vya nje Vimepotosha kuwa Rais Magufuli ndiye aliyemkamata Ney wa Mitego

Kwani aliesemwa nani ?mlalamikaji so yeye ? Kumtaja Saudi in kosa kubwa nchi hio .hio in uhaini wala sio mini kaka. Kalakabaho
 
Wakuu nimeshangazwa na Vyombo vya Habari vya Magharibi kwani kila media imeandika

"President Magufuli arrested Tanzanian Rapper over insulting him"

Hivi vyombo vinapenda mabaya tuu na Vingi bado vinaandika habari ya kukamatwa kwa Ney Wa Mitego japo ameachiwa
achana na habari za mitandaoni , we chapa kazi
 
halafu tena cheni inaendelea baswata ine agizwa na nani
Mazingira yanaonyesha BASATA walidandia Hii kesi "kwa Hofu ya wao kutumbuliwa."
Kwakua Wimbo haukidhi vigezi vya kuufungia.

Lakini Jeshi la Polisi wako chini ya Amiri Jeshi Mkuu "Command in -Chief."
 
Wakuu nimeshangazwa na Vyombo vya Habari vya Magharibi kwani kila media imeandika

"President Magufuli arrested Tanzanian Rapper over insulting him"

Hivi vyombo vinapenda mabaya tuu na Vingi bado vinaandika habari ya kukamatwa kwa Ney Wa Mitego japo ameachiwa
Sasa wewe inakihusu nini?
 
Je, wewe unaweza kutuhakikishia ni sababu zipi hasa za msingi zilizopelekea Ney wa Mitego kukamatwa na Polisi na kuvurushwa toka Morogoro mpaka Dar??Kama zipo!!! Nani aliyeyotoa amri au maelekezo hayo? Je, ni JPM,ni IGP, ni Mwigulu au nani??
 
Wakuu nimeshangazwa na Vyombo vya Habari vya Magharibi kwani kila media imeandika

"President Magufuli arrested Tanzanian Rapper over insulting him"

Hivi vyombo vinapenda mabaya tuu na Vingi bado vinaandika habari ya kukamatwa kwa Ney Wa Mitego japo ameachiwa
Sasa kama hakumkamata ni kwanini kamwachilia?
 
Kaona aibu baada ya Watz na media mpaka za Kimataifa kuanza kumshutumu Rais Magufuli waziwazi! Huu ni upuuzi wa hali ya juu! Huyuhuyu ndo aliyeagiza juzi TV na Mitandao ya Kijamii kufungiwa ATI kwa kuandika na kutangaza HABARI ZA UCHOCHEZI kama vile MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI!!!Aibu tupu.
 
Wakuu nimeshangazwa na Vyombo vya Habari vya Magharibi kwani kila media imeandika

"President Magufuli arrested Tanzanian Rapper over insulting him"

Hivi vyombo vinapenda mabaya tuu na Vingi bado vinaandika habari ya kukamatwa kwa Ney Wa Mitego japo ameachiwa
Ni sawa na yeye ndio kamuachia
 
Wakuu nimeshangazwa na Vyombo vya Habari vya Magharibi kwani kila media imeandika

"President Magufuli arrested Tanzanian Rapper over insulting him"

Hivi vyombo vinapenda mabaya tuu na Vingi bado vinaandika habari ya kukamatwa kwa Ney Wa Mitego japo ameachiwa
Mkuu usishangae, mange kasema!!
 
Wakuu nimeshangazwa na Vyombo vya Habari vya Magharibi kwani kila media imeandika

"President Magufuli arrested Tanzanian Rapper over insulting him"

Hivi vyombo vinapenda mabaya tuu na Vingi bado vinaandika habari ya kukamatwa kwa Ney Wa Mitego japo ameachiwa
Ban zitakuuua

Mod hawana hata huruma kwa buku saba ww
 
Back
Top Bottom