Vyombo vingi vya habari vya nje Vimepotosha kuwa Rais Magufuli ndiye aliyemkamata Ney wa Mitego

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Wakuu nimeshangazwa na Vyombo vya Habari vya Magharibi kwani kila media imeandika

"President Magufuli arrested Tanzanian Rapper over insulting him"

Hivi vyombo vinapenda mabaya tuu na Vingi bado vinaandika habari ya kukamatwa kwa Ney Wa Mitego japo ameachiwa
 
We unadhani kama Basata haijahusika kumkamata, hao Polisi walienda kwa maagizo ya nani?
 
Wakuu nimeshangazwa na Vyombo vya Habari vya Magharibi kwani kila media imeandika

"President Magufuli arrested Tanzanian Rapper over insulting him"

Hivi vyombo vinapenda mabaya tuu na Vingi bado vinaandika habari ya kukamatwa kwa Ney Wa Mitego japo ameachiwa

The buck stops with him, sijui kama unanielewa, na hivyo vyombo vya nje vimefikia hitimisho hilo kwa kuzingatia ukweli wa hali inayoendelea hapa nchini; be careful! Watch it! Not to that extent!
 
Wakuu nimeshangazwa na Vyombo vya Habari vya Magharibi kwani kila media imeandika

"President Magufuli arrested Tanzanian Rapper over insulting him"

Hivi vyombo vinapenda mabaya tuu na Vingi bado vinaandika habari ya kukamatwa kwa Ney Wa Mitego japo ameachiwa
Weka source wewe acha uwongo
 
Si anapenda kutokea front page na kuzungumzwa kila siku kwenye vyombo vya habari
 
Wakuu nimeshangazwa na Vyombo vya Habari vya Magharibi kwani kila media imeandika

"President Magufuli arrested Tanzanian Rapper over insulting him"

Hivi vyombo vinapenda mabaya tuu na Vingi bado vinaandika habari ya kukamatwa kwa Ney Wa Mitego japo ameachiwa
As long ameamua aachiwe,why tusiamini kuwa aloamuru akamatwe?
 
Wakuu nimeshangazwa na Vyombo vya Habari vya Magharibi kwani kila media imeandika

"President Magufuli arrested Tanzanian Rapper over insulting him"

Hivi vyombo vinapenda mabaya tuu na Vingi bado vinaandika habari ya kukamatwa kwa Ney Wa Mitego japo ameachiwa
hebu nyamaza uko mshajichafua weeeeeee hata hamuosheki tena na chochote maana hamjielewe kabisa mara kamata mara achia sio kujiaibisha uko?hamuelewi nini mnataka na nini hamtaki wataendelea kuandika tu no way mpk mwombe pooooo
 
Wakuu nimeshangazwa na Vyombo vya Habari vya Magharibi kwani kila media imeandika

"President Magufuli arrested Tanzanian Rapper over insulting him"

Hivi vyombo vinapenda mabaya tuu na Vingi bado vinaandika habari ya kukamatwa kwa Ney Wa Mitego japo ameachiwa
Ndiyo alimkamata na baada ya kuona ameandikwa sana na magazeti ya nje kamuacha upesi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yaani wewe mbwiga umekomaa kwenye keyboard kusifu na kuabudu hata huna habari kuwa chama lako limeshateua makatibu wa wilaya na mikoa nafasi ulizokuwa unaIilia usiku na mchana. Nenda Mombasa ukajaribu maisha mengine hapa majungu na umbea wako umebuma.
 
Back
Top Bottom