Vykingship imeblokiwa Airtel Mastercard?

Johnyy

Member
Dec 21, 2018
93
39
Habari wakuu,

Nimejaribu kufanya malipo ya mzigo kutoka Us kwa njia ya Airtel mastercard lakini nashangaa kuona ujumbe wa Muamala wako Haukukamilika TXN Id: MP240304.1650.T99101, Mpokeaji kafungiwa nifanyaje apo?
 
Habari wakuu,nimejaribu kufanya malipo ya mzigo kutoka Us kwa njia ya Airtel mastercard lakini nashangaa kuona ujumbe wa Muamala wako Haukukamilika TXN Id : MP240304.1650.T99101, Mpokeaji kafungiwa nifanyaje apo?
Acha Tu endelea na mishe mishe
 
Mkuu Airtel Mastercard is a piece of shit..Ni takataka kabisaa inasumbua mnoo mnoo..Nimetumia sana angalau Voda
 
Habari wakuu,nimejaribu kufanya malipo ya mzigo kutoka Us kwa njia ya Airtel mastercard lakini nashangaa kuona ujumbe wa Muamala wako Haukukamilika TXN Id : MP240304.1650.T99101, Mpokeaji kafungiwa nifanyaje apo?
Wasiliana na mpokeaji huenda account yake imefungiwa kweli

Akupe other means ya kumtumia pesa

Ukiendelea kulazimisha hapo pesa itakatwa halafu haitafika kwa muhusika na kwako haitarudi

Utaanza kukimbizana nao sasa ili upate pesa yako
 
Yah airtel inasumbuaga sana Ngoja nijaribu Voda mastercard nao
Wanajitahidi sana especially feauture yao ya kudeposit kwenye mastercard tofaut na Airtel wanachukua money direct from Wallet ambayo ni hatari sana
 
Wasiliana na mpokeaji huenda account yake imefungiwa kweli
Akupe other means ya kumtumia pesa
Ukiendelea kulazimisha hapo pesa itakatwa halafu haitafika kwa muhusika na kwako haitarudi
Utaanza kukimbizana nao sasa ili upate pesa yako
Thanks nimewatumia email tyr ni shipping agency i hope watanipa feedback
 
Back
Top Bottom