Vyeti muhimu kuverify ajirapotal

Vyeti muhimu kuverify ajirapotal

To be honest, nilikua sijui kama kuna ulazima wa certify vyeti vya kuupload ajira portal. Ndo nimejua leo
Ila sidhani kama vinahusiana na tatizo hili

Screenshot_20220411-193800.png
 
Samahani...naomba kuuliza kwanini kila nikiapply ajira portal system inagoma wakati academic qualifications zinazohitajika ninazo na ndizo nilizojaza
- system inanambia sina vigezo
Iyo App ina matatizo mengi sana

Nimejaribu kumsaidia dogo ku apply izo ajira za TRA na Profile yake inasoma 100% kila nikijaribu inaniambia failed zile namba zao za huduma kwa mteja hazipatikan hii inch bhana
 
Mkuu moja ya bomu hapa nchini ni pamoja na hio system ya ajira portal,ina changamoto nyingi sana lakini naona wahusika wamekaa kimya kama hawaoni.
Mtazamo wangu ni heri watafute vijana sharp wenye hari na uhitaji wa kazi ya kuz design hio kitu pamoja na uendeshaji wake.
 
Kasome sheria inaitwa Notary public and commissioners for Oath Act utakuta majibu
ninaifahamu sana huyo sheria haina kifungu kinachoelekeza kuhusu gharama
Hiyo sheria inataja watu wenye hadhi ya kucertify documents tu.
Hiyo sheria inawataja pia District Administrative Secretary pia ni commissioner. of oath and notary public so mtu anaweza kwenda ofisi ya mkuu wa wilaya akaonana a DAS akamcertifaiya vyeti vyake bure kabisa.
Pia ma state attorneys ni maccommissioners of oath and notary public mtu anaweza kwenda ofisi ya Attorney General mkoa wowote wakamcertifaiya vyeti bure kabisa.

Mahakimu pia ni ma commissioners of oath ukienda mahakamani ukaonanna na hakimu mwenyewe anakucertifaiya vyeti bure kabisa .achana na makarani wana njaa ndio wanaombaga elfu tano ukiwa na vyeti hata 100 wanakucertifaiya ukiweza kuonana na hakimu mwenyewe atakufanyia bure kabisa
Ma advocate wengi ambao pia ni ma commissioner of oath ndio wanacharge fee kwani wengi wanagharamia mihuri yao kwa kulipia TLS na pia labda wana ofisi wanalipa kodi.
Hao niliowataja hapo juu watacertify vyeti na watakugongea mhuru wa District administative secretary, au wa state attorney au wa resident magistrate mihuri ambayo hailipiwi TLS, na ofisi zao ni za umma na wanalipwa mishahara na serikali ila ni ma commissioners of oath and notary public kwa. mujibu wa sheria .
Jamani vijana msiomplicate mambo sio lazima kwenda kwa ma advocate ku verifai vyeti kwani wengi watawachaji fedha ni wafanyabiashara.
Kuna maadvocate wanaojielewa wanaweza kukugongea mihuri bure kwenye vyeti kwa wanaohitaji ajira hawa ni malecture wa sheria mimi mfano by that time aliyenicertifaiya vyeti vyangu ni Professor Mchome by that time alikuwa dean faculty of law udsm nilikuwa nimemaliza udsm nikawanahitaji kucertify vyeti nikaenda udsm faculty of law kwa bahati nikamuona yupo ofisini kwake simfahamu hanifahamu nikamueleza shida yangu kwamba natafuta kazi nimeambiwa nipeleke certified copy ya academic certificates nikamuonyesha original na copy akanicertifaiya bure kabisa . tena na kumbuka mzee huyu akaniambia nimpatie copy nyingi anicertifaiye akanibidi nirudi stayionary nikatoe kopy nyinginyingi nikatoa kopy 10 kila cheti akanicertifaiya vyote na nikapata kazi kupitia certified copy alizonifanyia yeye.
wakati huo hakuna sekretarieti ya ajira wala kuomba kazi online unaambiwa upeleke certified copies hard copies kupitia posta .
Cha msingi ni kujiamini na kujieleza vizuri unamwambia mimi sina hela natafuta kazi naomba msaada wengi wa ma advocate wanaojielewa wanasaidia sana vijana watafuta ajira.
Mimi ninawashakaaji zangu kibao maadvocate vyeti ukieleza ni kwa ajili ya kuombea kazi wanacertify bure tu wanatoza fedha kwenye nyaraka za kibiashara au kadi za magari.
Kwa mimi binafsi sioni ulazima wa kijana mtafuta ajira kutumia gharama kucertify vyeti
 
Wanavunja sheria
acha uongo hiyo sheria nitakuleta hapa unionyeshe hicho kifungu kinachoeleza fedha.
Kimsingi TLS ndio wanaweka miongozo ya fees mbalimbali za kuchargiwa na wanachama wao kwa wateja watakaokutana nao.
Halafu elewa sio all commissioners of oath and notary public ni members wa Tanganyika Law Society mfano Ma DAS, ma state attorneys, au magistrate or judges
 
ninaifahamu sana huyo sheria haina kifungu kinachoelekeza kuhusu gharama
Hiyo sheria inataja watu wenye hadhi ya kucertify documents tu.
Hiyo sheria inawataja pia District Administrative Secretary pia ni commissioner. of oath and notary public so mtu anaweza kwenda ofisi ya mkuu wa wilaya akaonana a DAS akamcertifaiya vyeti vyake bure kabisa.
Pia ma state attorneys ni maccommissioners of oath and notary public mtu anaweza kwenda ofisi ya Attorney General mkoa wowote wakamcertifaiya vyeti bure kabisa.

Mahakimu pia ni ma commissioners of oath ukienda mahakamani ukaonanna na hakimu mwenyewe anakucertifaiya vyeti bure kabisa .achana na makarani wana njaa ndio wanaombaga elfu tano ukiwa na vyeti hata 100 wanakucertifaiya ukiweza kuonana na hakimu mwenyewe atakufanyia bure kabisa
Ma advocate wengi ambao pia ni ma commissioner of oath ndio wanacharge fee kwani wengi wanagharamia mihuri yao kwa kulipia TLS na pia labda wana ofisi wanalipa kodi.
Hao niliowataja hapo juu watacertify vyeti na watakugongea mhuru wa District administative secretary, au wa state attorney au wa resident magistrate mihuri ambayo hailipiwi TLS, na ofisi zao ni za umma na wanalipwa mishahara na serikali ila ni ma commissioners of oath and notary public kwa. mujibu wa sheria .
Jamani vijana msiomplicate mambo sio lazima kwenda kwa ma advocate ku verifai vyeti kwani wengi watawachaji fedha ni wafanyabiashara.
Kuna maadvocate wanaojielewa wanaweza kukugongea mihuri bure kwenye vyeti kwa wanaohitaji ajira hawa ni malecture wa sheria mimi mfano by that time aliyenicertifaiya vyeti vyangu ni Professor Mchome by that time alikuwa dean faculty of law udsm nilikuwa nimemaliza udsm nikawanahitaji kucertify vyeti nikaenda udsm faculty of law kwa bahati nikamuona yupo ofisini kwake simfahamu hanifahamu nikamueleza shida yangu kwamba natafuta kazi nimeambiwa nipeleke certified copy ya academic certificates nikamuonyesha original na copy akanicertifaiya bure kabisa . tena na kumbuka mzee huyu akaniambia nimpatie copy nyingi anicertifaiye akanibidi nirudi stayionary nikatoe kopy nyinginyingi nikatoa kopy 10 kila cheti akanicertifaiya vyote na nikapata kazi kupitia certified copy alizonifanyia yeye.
wakati huo hakuna sekretarieti ya ajira wala kuomba kazi online unaambiwa upeleke certified copies hard copies kupitia posta .
Cha msingi ni kujiamini na kujieleza vizuri unamwambia mimi sina hela natafuta kazi naomba msaada wengi wa ma advocate wanaojielewa wanasaidia sana vijana watafuta ajira.
Mimi ninawashakaaji zangu kibao maadvocate vyeti ukieleza ni kwa ajili ya kuombea kazi wanacertify bure tu wanatoza fedha kwenye nyaraka za kibiashara au kadi za magari.
Kwa mimi binafsi sioni ulazima wa kijana mtafuta ajira kutumia gharama kucertify vyeti
Umenena vyema mkuu
 
kwa mujibubea sheria ya commissioner of oath and notary public section 10 wanaoruhusiwa kuthibitisha nyaraka sio hao uliowataja tu hadi maafisa mambo ya nje wanaruhusiwa ku certify nyaraka
- Basi peleka vyeti vyako kwa maafisa wa Mambo ya nje halafu upload kwenye ajira ajira portal tuone kitakachotokea.
 
Back
Top Bottom