Vyeti muhimu kuverify ajirapotal

Vyeti muhimu kuverify ajirapotal

Habari ya muda huu wakuu.

Samahani mimi nina vyeti kadhaa ikiwemo cha la7, form4, form6, JKT, Cha bachelor pamoja na full result transcript yake, kwa sasa sina pesa ya kutosha kuverfy vyote kwa pamoja, hivi kwa hapo ni vyeti gani muhimu hasa kuverify kwa ajili ya kuombea kazi ajirapotal, au hadi vile kama cha JKT ni muhimu..?

Sambamba na hilo naomba connection ya mwanasheria yeyote anyeweza kunifanyia kwa elf 5, nipo Dar Mabibo.
Ku Verify nenda hapo TCU faster
 
huo utaratibu umepitishwa na serikali ipi au weka quote ya kifungu kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Embu acha tamaa za kipumbavu, hakuna mtu atakupa elfu 20 ku certify cheti kimoja, kwaio kama ana vitano, ni laki moja?
Elfu 3,5, na ikizid 10, kwa vyeti vyote, kila mahal ndio iko hivyo kama hutaki unaacha, mawakili wenye muhuri wako kibao sana hata mahakama zipo kibao, wewe endelea kusubiria kwa uchumi huu wa vita vya Ukraine mtu akupe elfu 20 umcertify cheti chake kimoja tu.
-katiba haiwezi kutaja gharama kuthibitisha nyaraka ww Ni kiazi hujui hata katiba
-nenda posta nimefanya Kazi kwenye lawfirm Kama accountant nimeona Mawakili wanapiga muhuri kwa 20,000 percopy
-mawakili wenye mihuri wako kibao ww mbona huna?
 
Achen mbwembwe Kuna watu kibao wameamliza law school na bado wapo mtaani ukimpa hyo book tano ana certify vyote....achen ujinga wa kuwafata mawakili wakubwa wafanye hyo kazi

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
-wenzio wanasimamia Sheria ya viapo ambayo inasema ni 20000/- kwa kopi,
-sio mbwembwe Ni sheria ndiyo imesema 20,000 kwa kopi
  • Ujinga Ni wako usiyejua sheria,
  • ww Ni Mr njaa kweli
 
Habari ya muda huu wakuu.

Samahani mimi nina vyeti kadhaa ikiwemo cha la7, form4, form6, JKT, Cha bachelor pamoja na full result transcript yake, kwa sasa sina pesa ya kutosha kuverfy vyote kwa pamoja, hivi kwa hapo ni vyeti gani muhimu hasa kuverify kwa ajili ya kuombea kazi ajirapotal, au hadi vile kama cha JKT ni muhimu..?

Sambamba na hilo naomba connection ya mwanasheria yeyote anyeweza kunifanyia kwa elf 5, nipo Dar Mabibo.
Usipate shida. Nenda mahakama yoyote iliyokaribu nawe, watapiga muhuri kwa 5000 hata kama vyeti vipo 10 we nenda tu usiogope, jiamini
 
Hapo kacertify vyote hata kama vingine hutovitumia, Ila ukienda na buku kumi tena nenda Ile mida ya saa 8 yaan wakaribia kuondoka watakusumbua Ila lazima kucertify Ila kwa buku 5 utasumbuliwa sana Mkuu labda ulie sana(So kopa hata buku 5 nyingine hapo iwe 10 itakuwa poA)
 
Si wanapiga muhuri kopi tu
 
Back
Top Bottom