Vyeti muhimu kuverify ajirapotal

Vyeti muhimu kuverify ajirapotal

Mimi nilifanya hivi:-
Nilienda mahakama ya mwanzo Sinza na vyeti og... wakanielekeza stationary yenye LEGAL PAPER ndo ikatumika kutolea copy. After that hakimu aliniwekea mhuri and signature for free absolutely! Na utumishi vinakubalika sna mno
 
My opinion is that kwenda mahakamani kucertify is far better and cheap to almost free and way more trusted than kutumia mawakili ambao wao wako kiupigaji zaidi kwenye ishu mdogo shaaana kama io
 
Niwe nayo kwani mimi wakili? Acha upuuzi, hakuna mtu atakupa elfu 20 kwa kopi moja huo ni uongo na hakuna kitu kama hicho..na kiazi ndio wewe *****..
-ndio ujue ugumu wa kupata muhuri sio kila mtu anao,
-mimi na ww Nani mpuuzi? Ww ndio kiazi kwa sababu sheria ya Wathibitishaji wa umma na maafisa viapo imesema ni 20,000/ kwa document yoyote ambayo haizidi maneno 100 sheria ndio inasema hivyo, Wakili anayetoza gharama chini cha 20,000/- kwa page anavunja sheria ya Wathibitishaji wa umma na maafisa viapo Ni kosa linaitwa undercutting
- bado kiazi Ni ww ambaye unadhani katiba inatoa hadi gharama za kuthibitisha nyaraka
 
nje ya mada, hivi Masokotz uwa inadili na nini?
Kuhusu SISI


Masoko Consulting ni Strategic Consulting Firm (Washauri waelekezi wa Kimkakati) ambao tunatumia mbinu za kisasa na utaalam wa kisasa katika kuwasaidia wateja wetu kutambua fursa na kuzitumia kwa ajili ya kukuza biashara zao na kukuza faida.Lengo letu ni kuwasaidi wafanyabiasha wadogo na wakati kubadilisha na kuboresha mfumo wa uendeshaji na usimamizi wa biashara zao ili ziendane na dunia ya kisasa kwa kuwawezesha kufikia zana za kisasa,utaalamu wa kisasa na teknolojia katika kuendesha biashara zao.

Sisi tunatoa huduma ya usajili wa Majina ya biashara,kampuni,leseni,TIN number NGOs,Taasisi za Kijamii,SACCOS,Taasisi za KIDINI,Taasisi za ELIMU,Viwanda,UWEKEZAJI na pia tunatoa ushauri juu ya namna bora ya kuendesha biashara yako.Unaweza kupata huduma hizo kwa gharama nafuu.Baadhi ya huduma hizo ni pamoja na:
  1. Kwanza tutakushauri kuhusu muundo wa biashara yako faida na hasara pamoja fursa mbalimbali
  2. Pili tutakufanyia utafiti na ushauri wa Jina la Biashara yako kwa kuzingatia vigezo vya SOKO
  3. Tutakufanyia Taratibu zote za usajili kuanzia Uandaaji wa Nyaraka Mpaka Kukamilika kwa Usajili wa Kampuni,TRA,Mashine za EFD na VFD,Vibali vya TBS pamoja na leseni
  4. Tutakuandikia Company Profile ya Kisasa kwa Lugha ya Kiingereza na Kiswahili
  5. Kama unahitaji mkopo kutoka katika taasisi za fedha tutakusaidia kufanya mchakato kwa kuzingatia mahitaji yako na vigezo vya taasisi husika.
  6. Tutakutengenezea Website ya kisasa kwa ajili ya Biashara na huduma zako.
  7. Tutakutengenezea, Logo, Business Card,Letter Head pamoja na Nyaraka nyingine za Kibiashara
  8. Tutakupatia Mfumo wa Kutunza kumbukumbu kwa njia ya Mtandao au kwenye Computer yako kwa ajili ya kusimamia Biashara yako
  9. Tutakufanyia Initial Marketing kwa Wateja wako (Inategemea aina ya biashara )wa Mwanzo ili kuwa na customer base ya kuanzia
  10. Pia tutakusaidia Mchakato wa Kufungua Bank Account kwa kutumia jina la Biashara yako (Deposit Ya Kwako)
  11. Tutakuwa nawe katika mchakato mzima wa kuendesha biashara yako mpaka itakapokuwa stable na wewe kupata uzoefu wa kutosha katika biashara yako.
 
Mahakamani pale magomeni njaa kali wanakugombania
Mnashindwa kumwelewa mdau hapo anayesema ni 20,000.

Kisheria ni 20,000 ila ukigongewa muhuri chini ya hiyo 20,000 ambayo ni kisheria ni uungwana tu wa muhusika.

Mdau amekupa hadi sheria ya kusoma ili ujithibitishie anachokisema bado mnampinga bila fact.
 
Ume Certify wapi?
Mahakamani pale magomeni njaa kali wanakugombania
Mnashindwa kumwelewa mdau hapo anayesema ni 20,000.

Kisheria ni 20,000 ila ukigongewa muhuri chini ya hiyo 20,000 ambayo ni kisheria ni uungwana tu wa muhusika.

Mdau amekupa hadi sheria ya kusoma ili ujithibitishie anachokisema bado mnampinga bila fact.
Yeye alianza kubisha akasema hakuna mwanasheria ana certify kwa 5000 ndio maana tukampinga angeanza kuleta sheria na fact sisi tungenyamaza
 
Mahakamani pale magomeni njaa kali wanakugombania

Yeye alianza kubisha akasema hakuna mwanasheria ana certify kwa 5000 ndio maana tukampinga angeanza kuleta sheria na fact sisi tungenyamaza
Kasome sheria inaitwa Notary public and commissioners for Oath Act,
 
Back
Top Bottom