Vyeti muhimu kuverify ajirapotal

Vyeti muhimu kuverify ajirapotal

achana na hawa mawakili watakupiga, Nenda mahakama yoyote ya Mwanzo asubuhi sana (kabla hawajaanza kusikiliza mashauri) toa nakala zako zote unazohitaji kucertify bila kujali ni ngapi kisha wape na elfu kumi. Watakusaidia kucertify bila bugudha. Kwa shida yoyote ya kucertify nenda Mahakamani kule watakusaidia kwa bei nafuu
 
Utaratibu ndio huo Ni 20,000/- kwa copy 1, na pia mahakama wanatakiwa wafanye 20,000 kwa copy moja.
Hii bei ya 20K nakumbuka ni kwa ajili ya vyeti vya wafanyakazi.

Vya wanafunzi ukienda mahakamani unacertify kwa 5000.

Ukienda kwa wakili uraiani anasema 20K per cheti na ni muongozo rasmi wa serikali.

So upo sahihi unachokisema ila kwa 5K unaweza kucertify pia. Mimi nilikua mkoa fulani nje ya Dar nikacertify vyeti vyote kwa 10K kwa wakili
 
Habari ya muda huu wakuu.

Samahani mimi nina vyeti kadhaa ikiwemo cha la7, form4, form6, JKT, Cha bachelor pamoja na full result transcript yake, kwa sasa sina pesa ya kutosha kuverfy vyote kwa pamoja, hivi kwa hapo ni vyeti gani muhimu hasa kuverify kwa ajili ya kuombea kazi ajirapotal, au hadi vile kama cha JKT ni muhimu?

Sambamba na hilo naomba connection ya mwanasheria yeyote anyeweza kunifanyia kwa elf 5, nipo Dar Mabibo.
Kama hujaverify bado unaweza nicheki mkuu
 
Mwezi March 2022 niliverify vyeti vyangu vyote, vilikuwa 12 kwa gharama ya elfu tano tu, likuwa mahakama ya mwanzo buguruni, ukiihitaji namba ya huyo mtu wa mahakama nitakupatia inbox, gharama Ni elfu tano kwa vyote

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
mkuu unaweza kunisaidia namba ya huyo mtu wa mahakama nataka ku certify vyeti vyangu.
 
Back
Top Bottom