Vyeti muhimu kuverify ajirapotal

Vyeti muhimu kuverify ajirapotal

Wakili mbona ni Kama una force kingi.. 20k kwa cheti kimoja huoni Kama ni upigaji? Hapo unataka na doctor kukucheki unaumwa Nini alipwe Bei gani Kama wewe muhuri tuu ni 20k
  • Mimi sio Wakili
  • Ila SHERIA ya notary public and commissioners for Oath Act inasema kila Page Ni 20,000/- kwa document isiyozidi maneno 100
  • Sio upigaji Ni Sheria hata Jaji Mkuu analijua hilo
 
Unajua mkuu hapa watu waliocertify hivyo vyeti kila mtu kaenda kivyake na kapigwa kivyake.

Hapo dar mawakili ni wengi, we fanya research yako ndgo tu kwa kuwatembelea maofisini mwao humo, mahakamani n.k kuuliza ni bure tu. Mkiridhiana unatoa hii kuuliza humu hutapata bei halisi ukizingatia hii ni huduma ambayo kila mtu anajipangia bei tu.
 
- gharama za kuthibitisha nyaraka Mawakili hawajipangii wamepangiwa na sheria, kwamba kwa document isiyozidi maneno 100 Ni sh 20,000/- Wakili anayefanya hivyo anatenda kosa.
 
Mwezi March 2022 niliverify vyeti vyangu vyote, vilikuwa 12 kwa gharama ya elfu tano tu, likuwa mahakama ya mwanzo buguruni, ukiihitaji namba ya huyo mtu wa mahakama nitakupatia inbox, gharama Ni elfu tano kwa vyote

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mwezi March 2022 niliverify vyeti vyangu vyote, vilikuwa 12000 kwa gharama ya elfu tano tu, likuwa mahakama ya mwanzo buguruni, ukiihitaji namba ya huyo mtu wa mahakama nitakupatia inbox, gharama Ni elfu tano kwa vyote

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Vyeti 12,000 vyote hivyo Ni vya nini mkuu?
 
Mwezi March 2022 niliverify vyeti vyangu vyote, vilikuwa 12000 kwa gharama ya elfu tano tu, likuwa mahakama ya mwanzo buguruni, ukiihitaji namba ya huyo mtu wa mahakama nitakupatia inbox, gharama Ni elfu tano kwa vyote

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
uyu ndio la profeser sasa vyet 12000
 
Samahani...naomba kuuliza kwanini kila nikiapply ajira portal system inagoma wakati academic qualifications zinazohitajika ninazo na ndizo nilizojaza
- system inanambia sina vigezo
 
Back
Top Bottom