Vyama vya upinzani vina Wabunge wasomi wa kuunda baraza la Mawaziri?

Baada ya Miaka 60 nchi ndo imeingia uchumi wa chini Kati je ccm Ina wasomi wakuongoza nchi?

Nauliza tu!
Tafuta sababu kwa nini sie ni masikini na ina maana gani tuko uchumi wa kati na kwa nini? Wakati huo huo viongozi upinzani hawataki sie tuwe kima cha kati ila cha chini ili tupate mikopo rahisi, nani mwenye akili acha elimu?
 
Aulizaye si mjinga ila anayejifanya kujua. Mie nauliza tu niweze kujua.

Ukishakuwa Rais unaunda serikali mpya ya baraza la mawaziri wenye sifa za uongozi na elimu ya juu, sababu waziri hawezi kuwa mkuu wa mwenye elimu maradufu yake.

Je, upinzani una wasomi wakutosha kuunda hilo baraza na manaibu wake?

Tujuzane kama wasomi na wastaarabu hata kama sio wasomi.
kwani uchaguzi wa wabunge umeshafanyika hadi uulize kama kuna wabunge wasomi wa chadema?
 
Psychotic doesn't even know what he is talking about, hujui chochote fala fulani tu wewe, rudi shule kichwa maji we.
Sawa daktari wa vichaa ambaye naye lazima awe kichwa kuliko vichaa wengine ili aweze kuzijua symptoms za ukichwa kabla hajawanyia diagnosis!
Wahi mirembe ukawahudumie wagonjwa wenzako! Wewe unawaza shule tu na hujui huku kitaa shule is not applicable at all Bali skills ndio hu- matter!
Acha upumbavu wa kudhani una uelewa mkubwa kuliko wengine duniani ilihali umekariri ya wajuvi Kisha kuyabeba Kama yako! Huna tofauti na kasuku mjinga ambaye huiga Kika sauti imfikiayo! Kajipendekeze mwingine ili Ile hapa jf hupati posho!
 
What you know is pig shit, you have nothing in your head, claiming nakutukana kumbe ndiye wewe uliyeanza matusi kuthibitisha wewe ni psychotic asshole. Huna chochote cha kujibu nilichouliza ila matusi kama umelelewa stendi ya basi. Mbwa koko wewe, you need mental help to make you see reality and learn to behave like normal people, not to just talk stupid things ili mradi usikike, ubongo wako ulishakufa.
 
Asante Sana Dada poa kutoka buza kwa lulenge kwa tathimini yako juu ya uwezo wa akili yangu! Sasa Kama sina kitu kichwani Ina maana pig shit haipo pia! Acha kuvamia jf uliyojiunga April mwaka huu! Mimi ni mkongwe humu na ninaheshimu na kuheshimika kwa wengine pia! Sio kwamba siwezi kukijibu kwa lugha inayoitaka Ila najiheshimu na kuiheshimu jf na members wake! Wewe tukana uwezavyo kujifurahisha na kumfurahisha anayekulipa but if members walio makini wanakudharau sana sana!
Usisahau kuwa hii ni jf na sio FB uliyozoea kutukana. Karibu jf uendelee kutukana badala ya kujenga hoja zenye mashiko!
 
Umesahau wewe ndiye uliyeanza matusi hata kusema utaendelea kunitukana, pure psycho.
 
Back
Top Bottom