Masi Lambo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 532
- 360
Mbona wakienda ccm wanapewa vyeo? Tumia akili wewe!Sifa kuu ya wabunge wa Chadema ni kuongea kwa jazba hayo mengine hayana umuhimu sana.
KADA THOMAS MUNISIKADA WA CCM THOMAS MUNISI ADAI NI 'CHUKI '"TU KTK MAPENDEKEZO NA USHAURI MBADALA ULIOPO KATIKA MITANDAO, ATOA UFAFANUZI WATOLEWA KWA WALIOSEMA BILIONEA LAIZER KAPUNJWA "NI UPOTOSHAJI,NI PESA KIDOGO
Kaka inaonekana unaishi nje ya nchi..Kukusaidia tu vyama vya upinzani vina watu wenye sifa zaidi ya uzitakazo na pengine hata kuzidi hata chama tawala na ndio maana Rais ameshindwa kuvumilia na kuamua na kuanza kuteuwa mawaziri kutoka vyama vya upinzani baada ya kutambua kuwa viongozi bora wapo upinzani mifano michache Mollel (Maliasili) na yule Mlevi Waitara (sijui wizara gani kwa sasa)Aulizaye si mjinga ila anayejifanya kujua. Mie nauliza tu niweze kujua.
Ukishakuwa Rais unaunda serikali mpya ya baraza la mawaziri wenye sifa za uongozi na elimu ya juu, sababu waziri hawezi kuwa mkuu wa mwenye elimu maradufu yake.
Je, upinzani una wasomi wakutosha kuunda hilo baraza na manaibu wake?
Tujuzane kama wasomi na wastaarabu hata kama sio wasomi.
wapinzani walipinga ujenzi wa ukuta ambao sote tumeona mafaniikio yake.Waziri wa madini toka upinzani atakayelinda thamani ya madini wanaochimba wachimbaji wadogo na wakubwa Tanzania , kutokana wa uelewa wa kina jinsi soko la madini linavyofanya kazi ulimwenguni Brussels, New York , Bangkok, Tel Aviv , Johannesburg, Paris n.k
LEMA AKOSOA VIKALI UNUNUZI WA TANZANITE YA LAIZER
Gazeti la Bangkok Post lasema :
Laizer amepata pesa kiduchu angestahili kupata maradufu :
Jewellers Le Vian, which during the 1980s and 1990s acquired half the entire production of Tanzanite, said the amount paid to Laizer was only a fraction of its retail value.
"While the $3 million paid to the miner has undoubtedly changed his life forever, it is only a twentieth of the potential retail value of the gemstones he discovered," said chief executive Eddie LeVian in a statement.. source : Miner becomes millionaire after finding biggest tanzanite stones
Kupewa nafasi haimaanishi ni bora kuliko wengine , tumia akili wewe.Mbona wakienda ccm wanapewa vyeo? Tumia akili wewe!
Goli la 1Siyo wasomi wote wanaofanya serikalini ni ccm. Labda kulinda ugali tu. Wengi wao wataweza kupewa kazi hata upinzani ukichukuwa nchi.
Goli la 2Mbona wakienda ccm wanapewa vyeo? Tumia akili wewe!
Kwahiyo unamaanisha Msigwa, Sugu, Prof. Jay, Kubenea, Lema ndio wenye uwezo mkubwa! Ahahahah! Basi kwa CCM watawaongeza Musukuma na Kibajaj!Kaka inaonekana unaishi nje ya nchi..Kukusaidia tu vyama vya upinzani vina watu wenye sifa zaidi ya uzitakazo na pengine hata kuzidi hata chama tawala na ndio maana Rais ameshindwa kuvumilia na kuamua na kuanza kuteuwa mawaziri kutoka vyama vya upinzani baada ya kutambua kuwa viongozi bora wapo upinzani mifano michache Mollel (Maliasili) na yule Mlevi Waitara (sijui wizara gani kwa sasa)
wapinzani walipinga ujenzi wa ukuta ambao sote tumeona mafaniikio yake.
walikuwa wakipinga uboreshwaji wa mikataba ya madini, sote tumeona manufaa ya Barick Gold/ Accacia tena mtia nia wa Urais akadiriki kututisha kuwa tukijaribu kuwagusa tutajikuta MIGA.
Hata mwenyekiti wao bonge la msomiMbona wapo wengi tu: prof. Jay, Sugu, Mnyika, Joyce Mukya, Faru John, etc.
Lema labda awe waziri wa kuiba magari maana ndio professional yakeWaziri wa madini toka upinzani atakayelinda thamani ya madini wanaochimba wachimbaji wadogo na wakubwa Tanzania , kutokana wa uelewa wa kina jinsi soko la madini linavyofanya kazi ulimwenguni katika majiji ya Brussels, New York , Bangkok, Tel Aviv , Johannesburg, Paris n.k
LEMA AKOSOA VIKALI UNUNUZI WA TANZANITE YA LAIZER
Bangkok, Thailand
Gazeti la Bangkok Post lasema :
Laizer amepata pesa kiduchu angestahili kupata maradufu :
Jewellers Le Vian, which during the 1980s and 1990s acquired half the entire production of Tanzanite, said the amount paid to Laizer was only a fraction of its retail value.
"While the $3 million paid to the miner has undoubtedly changed his life forever, it is only a twentieth of the potential retail value of the gemstones he discovered," said chief executive Eddie LeVian in a statement.. source : Miner becomes millionaire after finding biggest tanzanite stones
Kama Mwita WaitaraSifa kuu ya wabunge wa Chadema ni kuongea kwa jazba hayo mengine hayana umuhimu sana.