Vyama vya upinzani matawi ya CCM ni hivi hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyama vya upinzani matawi ya CCM ni hivi hapa!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MTWA, Oct 26, 2010.

 1. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Ndugu great Thinkers,
  Sijui kama nakosea!

  Nimelazimika kuamini kuwa CCM haipo peke yake katika kuhakikisha kuwa inashinda. Baada ya kuona kuwa imeboronga sehemu kadhaa, nimetazama na kuona kuwa kuna uwezekano mkubwa kukawa na ufadhuili wa CCM katika uundaji wa vyama baadhi ya vile vinavyoitwa vya upinzani.

  Kama si vyama basi kuna watu wengi tu katika vyama hivyo ambao ni vibaraka wa chama hiki tawala. Na hililinathibitika pale ambapo baadhi ya vyama kama TLP (Mrema) Kwa uwazi tu anatetea CCM na JK. Kuna vyama ambavyo vinajua kabisa kuwa havina chake kuelekea ikulu lakiniki vinapiga kampeni za urais tene siku chache kabla ya uchaguzi! na ni vichochoroni. Hii inaonesha kuwa wanataka kupunguza tu upinzani ili waliochoka ccm waende huko wasimpe yule mwenye nguvu.

  Sasa hili nalo picha yake sioni, Ndugu yangu niliyemwamini sana, kijana, anadai vitu visivyowezekana (Mabilioni) kwa vyama vingine vya upinzani? Sijamwelewa.
  Kwani wao wamemharibia Biashara na kumsababishia hasara? au anavuruga tu ili chama tawala kishide?

  Nadhani kama hana nia mbaya na huu uchaguzi angetolea maelezo tu bila ya mambo yaliyo out of topic (kampeni).

  Kwa maana hiyo nimefikia mtazamo na kuona kuwa vyama hivi ni matawi ya chama tawala Isipokuwa:
  CHADEMA NA CUF tu!
  hawa japo wana dira fulani ya kutaka kuongoza nchi, lakini wengine wasanii watupu na wametumwa na CCM.
   
 2. e

  emalau JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Hilo linafahamika, mfano NCCR wana mgombea urais lakini mbatia anahojiwa TBC anasupport kwamba CCM itashinda, sasa kwa nini alisimamisha mgombea? Mrema naye ana mgombea lakini anapigia debe JK, They must be naive of politics.
   
 3. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  CUF ilikuwa chama cha upinzani cha ukweli kabla ya August 2009. Baada ya kusaii makubaliano ya kuunda serikali ya mchanyato zenji hapo ndipo walioingia kwenye zizi la ccm. Kwahiyo sasahivi chama cha kweli cha upinzani kilichobaki ni CHADEMA.
   
 4. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Basi kwa maana hiyo tuseme vyama vya upinzani wa ukweli ni zaidi sana CHADEMA tu?
   
 5. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  NCCR nilidhani kuna mtu lakini kwa hili la mbatia kusapoti CCM na kuwadai wenzake wa upinzani mabilion kama yale bila grounds basi nimeshamtoa kabisa.
  Sasa basi ni nani tena mpinzani?
   
 6. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nadhani kadiri siku zinavyokwenda tumshukuru Mungu wale wanafiki wote wanaoujua ukweli na kujifanya vinginevyo wanapungua. Mabadiliko ni lazima na yatakuja either tukiwa hai au kwa wanetu. God be with us.
   
 7. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2010
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Sasa kwa nini tuwapigie kura hao waliosimamisha wagombea wao wa uraisi halafu wanaipigia debe sisiemu?
   
 8. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kwanza karibu sana JF maananaona this is your first post! sorry kama nitakuwa nimekosea!
  But ndo ukweli maana hata mimi mbatia sikujua kama ni kibaraka tu, baada ya kudai fidia ya kijinga nishamjua sasa
   
 9. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hatuna haja hata kidogo, lakini kama uataona kuna mgombea mmoja jana kafanya kampeni kichochoro kimoja pale DSM sokoni, na kusababisha usumbufu sana, hakuna hatua aliyochukuliwa dhidi yake.
  halafu walihudhuria wote siyo wapiga kura. Ni wahuni fulani tu!
   
 10. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  :A S angry:
   
 11. m

  msasa Member

  #11
  Oct 26, 2010
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi nilijua yale makubaliano yalifanywa kwa kutaka kulinda maslahi ya wazanzibar baada ya kuuwana kutozikana na madhila mengine yaliyowatokea!!!! hebu baelezee
   
 12. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mbatia kachokaa hawezi hata kuendeshaa maisha yake binafsi tusishangae kujipendekezaa kwake CCM...Njaa na kupendaa sifaa za reja rejaaaaaaa....
   
 13. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Huyu jamaa wa NCCR mageuzi huwa ana matatizo kwani hajawahi hata siku mmoja kuwa na umoja na vyama vingine vya upinzani. Mtakumbuka alipokuwa mbunge aliwahi sema bungeni kwamba Mrema anatakiwa akapimwe akili. Huyu huwa hana jambo lolote la kimaendeleo bali kulumbana na vyama vingine vya upinzani siku zoote. Huwa simwelewagi huyu JM wa NCCR
   
 14. M

  Manyema JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Huyo mbatia ni kibaraka tu wa ccm kwani nani hajui amekuwa planted kugombea jimbo la kawe ili apunguze kura za mdee hana lolote njaa tu inamsumbua ni sawa na mtatiro alivyopandikizwa ubungo ili apunguze kura za mnyika wote hao ni vibaraka wa ccm tu. Chagua chadema kwa maendeleo yako na ya vizazi vyako.
   
 15. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  APPT Maendeleo naitoa (mzirai), akiongoa yule mgombea wao anaeleweka sema muda haumtoshi na hana timu. Na atapata kura bwana yule. Alipokuwa MZA ALIMNADI DR SLAA
   
 16. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  hivi wewe unaishi dunia gani? Waliosaini muafaka na ccm ili kuunda serikali ya umoja wa kitaifa ni cuf zanzibar maana huko huwa wana serikali yao ya zanzibar!
  Sasa nani alikuambia cuf waliingia mkataba na ccm ili kuunda serikali ya mseto bara? Wacha uongo na hoja za kipuuzi!! Hizi propaganda za chadema za kuipakazia cuf kuwa mara wana udini, mara pandikizi, mara... Hazitawasaidia kuingia ikulu!!

  Mbona chadema kinawafuasi wengi wachaga na wa dini ya kikristo? Sasa kama muna dai cuf ni pandikizi la ccm na linawafuasi wengi waislamu, basi chadema nao ni pandikizi la ccm na ukatoliki maana nyerere alikuwa akiisifia chadema na yeye ni mkatoliki!!

  Sasa wacha tugawane vyama wakatoliki na kanisa la kakobe waende chadema!
  Waislamu siasa kali waende cuf!
  Waabudu mizimu, wahindu, waislamu moderate, walutheri, anglikana, wasabato na wakiristo wengine waende ccm!
  Halafu tuone kama nchi itaweza kuendelea!!!
   
 17. c

  chamajani JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dadaangu unatisha-Nakuaminia kwa sana
   
 18. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #18
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  na sisi chadema tutaanzisha vya kwetu kama hali ndo hiyo. mwakani nasajili chakwangu, CHADEMA B
   
 19. H

  H6MohdH6 Member

  #19
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni elimu iliyoanzia na kuishia madrasa. Kama elimu yako ni ya madrasa tu huwezi kuona kingine zaidi ya dini. Huwezi kujua kuwa binandamu ana maisha mengine tofauti na dini. Huwezi kujua siasa ni tofauti na dini. Huwezi kujua kuwa kupewa cheo au madaraka kuna vigezo vilivyo tofauti na dini. Au kuingia chuo kuna kupasi mtihani ulio tofauti na dini.

  Ujinga unaotokana na Elimu iliyoanzia na kuishia madrasa ndiyo nguzo kuu ya wanaowaunga mkono Al Kaida na Taleban na hawa ndiyo waanzilishi na wahamasishaji wakuu wa kueneza chuki za kidini ijapokuwa ndiyo pia wauwaji wakuu na wakandamizaji wakubwa wa waislamu kwa hoja hiyo hiyo ya udini.

  Kuelewa mambo ya binadamu na ya dunia unahitaji elimu zaidi ya madrasa. La sivyo utakuwa unatoa ushuzi mtupu.
   
 20. T

  Teru Member

  #20
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili linatoa fursa ya kuchagua kiongozi kwenye chama chenye msimamo wa kweli. Mpiga kura yeyote kwa tarehe 31 Oktoba fursa nzuri ni hii, CHAGUA CHAMA CHENYE UWAZI NA MSIMAMO ULIO IMARA. Mimi tayari ninao uamuzi, Wewe je?????????
   
Loading...