Tatizo lako CCM imekuathiri kiasi kwamba fikra zenu zote kuwa ninyi ni leading kumbe maboya. Yaani kwa kuwa raisi wa
Kenya alikuwa
Kenyatta basi na jibu la rais wa
Uganda ni
Ugandatta. You are wrong womam kwa kufikiria kuwa domain ya CCM itatofautiana na ya CUF by just names. Mbona kila kitu kipo kwenye google kama kweli unahitaji kitu.
Kwa kukusaidia tu bonyeza
Kuhusu CUF au
http://hakinaumma.wordpress.com/ Jamaa wana website zao nzuri tu.