ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,017
- 7,220
- Thread starter
- #181
Mbona hata hiyo CCM ni chama feki kinawadanganya sana wananchi na kuwapumbaza waamini kuwa ni chama bora pekee kumbe uozo mtupu.
Inawezekana wewe na BEN ni beginners katika siasa na hamjajua bado madhumuni makuu ya chama chochote cha siasa duniani. Chama chochote chenye madhumuni tofauti na hayo ni chama feki kama nilivyoeleza hapo juu.