ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,024
- 7,263
Ukitaka kujua jinsi vyama fulani visivyo serious jaribu kutembelea website ya chama cha CUF. http://www.cuftz.org/
Ukitaka kujua jinsi vyama fulani visivyo serious jaribu kutembelea website ya chama cha CUF. http://www.cuftz.org/
ukimaliza hicho tembelea ccm utagundua ufeki ulivyokithiri
Bi Mdogo... itabidi nimtafute mwalimu wako wa majibu.. this is beyond classic.!
Ukitaka kujua jinsi vyama fulani visivyo serious jaribu kutembelea website ya chama cha CUF. http://www.cuftz.org/
kama chama chako maluun (ccm) kimewafanyia umafia je utakiita chama mhanga feki???
Hii ya CCM imenipatia majibu niliyokuwa natafuta, nini kimekosekana kwani?
Niko kwenye kuandaa jibu la swali lako ndio maana nimeingia kwenye hekaheka za kutafuta sera za CUF nikagundua kuwa haziko reachable!
nilishawahi kukutana na hii site, nikaignore kwani si wote wenye kujua kona za network..... cha msingi ni kuwastua kuwa kuna mtu anatumia copyright ya chama chao vibaya
Ulichokuwa unatafuta ni nini hasa na ukakipata uko ccm?
Unachosema ni sahihi.
Sera na katiba.
kabla sijaitisha hii thread kwenda kwenye udaku au thread yake inakostahili... yeah just because I can..... sema ulichopata ccm huko na kukifanya kisiwe na ufeki uliokithiri.....lol
na ulikuta nini kuhusu Buzwagi, Richmonduli, wizi BoT, Kiwira, Bulyanhulu, rada feki, ndege ya bei ya kutupwa, na ukosefu wa huduma muhimu nchini?
Unathibitisha kujua humjui unayemtisha. Fanya lolote unaloona una uwezo wa kulifanya.
Unajua wakati mwingine MWK huwa unakuwa mtu wa shari sana.Endelea na shari peke yako am out.
na ulikuta nini kuhusu Buzwagi, Richmonduli, wizi BoT, Kiwira, Bulyanhulu, rada feki, ndege ya bei ya kutupwa, na ukosefu wa huduma muhimu nchini?
jambo limezua jambo
Ukitaka kujua jinsi vyama fulani visivyo serious jaribu kutembelea website ya chama cha CUF. http://www.cuftz.org/