Vyama vya siasa feki Tanzania

Mbona hata hiyo CCM ni chama feki kinawadanganya sana wananchi na kuwapumbaza waamini kuwa ni chama bora pekee kumbe uozo mtupu.

Inawezekana wewe na BEN ni beginners katika siasa na hamjajua bado madhumuni makuu ya chama chochote cha siasa duniani. Chama chochote chenye madhumuni tofauti na hayo ni chama feki kama nilivyoeleza hapo juu.
 
Mkuu kumbe huko CCM mnaamini kuwadanganya wananchi ndio dhumuni la chama chochote cha siasa duniani? Uuuwiii! Tumekwisha watanzania.Usije ukasema tena hivyo mkuu utachekwa,tena inabidi uwatake radhi watanzania au withdraw your statement mkuu ili kurudisha heshima ya chama chako_Only if you are serious with prosperity of our nation.
 
Your spins wont work with me, try something else!
Ukifanikiwa kuonyesha sehemu niliyoandika kuwa kuwadanganya wananchi ndio dhumuni la chama chochote cha siasa duniani basi unanidai dola za kimarekani 2000 na ninaahidi mbele ya wana JF wote.
 
Umesema hapojuukuchangia post ya Fidel.Naona unachangia kuporomoka kwa sarafu yetu sasa.Wewe na Chenge naona hamna tofauti kumbe,Dola 2000 na sikwa Tshs,mkuu uzalendo wako uko wapi?
 
Mheshimiwa KADA na macomredi wenza,
bado hamjakubali kuwa ccm ni kiinimacho??? ahadi kila kukicha ambazo hata hazitekeleziki.... (Mkapa)
 
Yaani chama cha CUF bado tu hakijaona umuhimu wa kurekebisha website yake. Jamani hawa wanaokiendesha hiki chama hawashauriki, wakipewa nchi itakuwaje?
 
Tatizo lako CCM imekuathiri kiasi kwamba fikra zenu zote kuwa ninyi ni leading kumbe maboya. Yaani kwa kuwa raisi wa Kenya alikuwa Kenyatta basi na jibu la rais wa Uganda ni Ugandatta. You are wrong womam kwa kufikiria kuwa domain ya CCM itatofautiana na ya CUF by just names. Mbona kila kitu kipo kwenye google kama kweli unahitaji kitu.

Kwa kukusaidia tu bonyeza Kuhusu CUF au http://hakinaumma.wordpress.com/ Jamaa wana website zao nzuri tu.
 
Last edited:

Unaweza kuingia hapa pia CUF - Tanzania ili kupata uhakika zaidi ni nani mwenye fikra zilizoathirika.

Halafu soma vizuri hiyo website uliyoipost, utagundua hiyo ni site ya kurugenzi ya uenezi. Hiyo siyo site ya chama, website ya Chama ni cuftz.org. Ni sawa na kusema kwamba website ya wizara fulani ndio website ya serikali!
 
Halafu katika hiyo link ya kwanza Kuhusu CUF soma kwenye itikadi za chama juu ya sera na malengo, halafu jipatie jibu je hiki chama kiko tayari kuongoza taifa lililo serious na maendeleo?
 
Je unapopitia sera na malengo ya chama kilichopo madarakani kina uwezo wa kuongoza taifa lililo serious na maendeleo ? Kati ya vyama vyote vilivyosajiliwa nchini ni kipi kimeonesha (to prove) kuwa ni "feki" baada ya kupewa madaraka ya kuongoza taifa. Huwezi kuita "feki" chama ambacho hakijapewa nafasi ya kutekeleza sera zake na ikashindwa ? Je baada ya haya madudu ya EPA, IPTL, MEREMETA, TANGOLD, KAGODA, RICHMOND, DOWANS, BUZWAGI, RADAR, MINARA YA BOT, KIWIRA AND THE LIST GOES ON....
ZeMarcopolo, kuna chama kimoja tu "feki" nacho ni CCM.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom