Vyakula vya kusaidia wanaume

Asilimia kubwa ya wanaume wanaolalamika tatizo la nguvu zakiume wanasumbuliwa na tatizo lakisaikolojia zaidi na si vinginevyo.Wapo wanaolalamika kuwah kufika kileleni hawa nao pia tatizo lao si lingine ni saikolojia tu.Kihoro ni adui wa tendo la ndoa kwa wanaume wengi lakini asilimia kubwa hawana matatizo yakiafya kwa maana yaki baiolojia
 
Nafikiri suala la msingi hapa ni mazoezi tu. Wengine wametoa hoja kuhusu stimulators na sio nini cha kukuongezea stamina ukiwa kitandani. Kama unataka stamina ni kufanya mazoezi tu. Unaweza kwenda round nyingi bila kuchoka kama una zoezi. Ukinywa konyagi, au ukila korosho au karanga, kama hauna zoezi utachemka mapema tu mtu wangu. Hamu unakuwa nayo, but your body can not go on.

Just exercise guys.
kula karanga sijui pweza kila kitu utaishia kuongeza sperm count tuu bhas,lakin stamina/kulast long lazma uwe mtu wa matizi.
 
Asilimia kubwa ya wanaume wanaolalamika tatizo la nguvu zakiume wanasumbuliwa na tatizo lakisaikolojia zaidi na si vinginevyo.Wapo wanaolalamika kuwah kufika kileleni hawa nao pia tatizo lao si lingine ni saikolojia tu.Kihoro ni adui wa tendo la ndoa kwa wanaume wengi lakini asilimia kubwa hawana matatizo yakiafya kwa maana yaki baiolojia

yaaan Gimmy umenigusa mm moja kwa moja yaan uwa sichukui round nawah sana kukojoa
 
No be wash..
You like Versace..
Baby Vale..
Me 'n you we wear to match..
You take me to church..
And I'll forget the 'lluminati..
If you like karati..
Ngabu will teach you matmatics..
Ooh hallelujah!

Sasa hiyo matmatics unitichie jikoni tukiwa tunapika huku tumevua nguo ndo ntaelewa haraka babe Ngabu
 
Yu know me go chop your supaghetti in the kitchen ooh....
Baby baby ooh (eeh), Bring me some new love (eeh)
Take me to the top (eeh), So many times that I want you.
Cause I’ve been so lonely, in my life
But now I can hold on, tonight
 
Wana FM!!
Naomba msaada kuhusu aina zifaazo kwa wanaume kula ili kuongeza nguvu na stamina ya kufanya tendo la ndoa!

Hii nimeiona ni mada muhimu kujadiliwa kwa kuwa sasa hivi takwimu zinaonyesha kwamba ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu wanawake wankosa huduma ya tendo la ndoa kwa ufasaha kiasi cha kutosheleza!! Nafahamu baadhi ya mambo kama ukosefu wa mazoezi ya kutosha, ulevi, na mafuta mengi mwilini pia yanachangia!! Hoja yangu hapa nataka kuelimishwa ni vyakula gani iwe vya kupikwa au vyakula asilia vinavyoweza kumsaidia mwanaume? Vile vya muda mrefu (sex boosters) na vile vya muda mfupi kabla ya kufanya tendo (stimulators)
Msaada wana JF
Wewe unawaza NGONO tu hakuna kingine sasa nakuombea kwa Damu ya Yesu ili uokoke.
 
Back
Top Bottom