Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 51,991
- 69,384
bahati nzur na mimi ni mpishi naelewa sana hizo ishuKinachanganywa na cha leoleo kiustadi Sana, ukigundua wewe no jiniaz, labda kwa Hawa mama ntilie ndo unaweza gundua, lakini mahotelini hugundui, hata ugali wenyewe unayeyushwa kiufundi unapikwa upya unakula vizuri tu unashushia na juice ya miwa