ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
mafuta ya mawese,pamba yapo eeeeh!
kalimati,azamto,fahari soda,mkate wa kumimina,
1. Burger na Pizza (Tandale kwa Mtogole)
2. Cheese (Manzese kwa Mfuga Mbwa)
3. HotDog (Manzese uwanja wa Fisi)
Nadhani lawalawa gololi na gudigudi zimepotea pia
Na mabumunda pia...kwa wale mlioishi Mbeya au Iringa, kuna kitu tulikuwa tunaita VIBAMA hiyo makitu wacha kabisa
Afu shost nikwambie kitu,
kuna maeneo mengine kuna baadhi ya vitu vinapatikana na vingine havipatikani.
dengu na vibaragala enzi za primary
Magimbi
Soda ya ginger, nilikuwa naifuma maeneo ya Arusha...inawezekana labda ipo mie tu sijazungukia pande hizo.
Manzese wamefulia hivyo :biggrin1: hawana cheese wala hotdog?
vitu km vitu kama vipi?
Kulikuwa na mkinywaji unanaitwa YES baadae ikaitwa YEBO sijui kama ilikuwa ni soda ama juisi
kwa wale mlioishi Mbeya au Iringa, kuna kitu tulikuwa tunaita VIBAMA hiyo makitu wacha kabisa