Hivi mafuta ya cowboy na Kimbo bado yapo?
Kimbo ipo ila cowboy sidhani kama bado inapatikana.
cowboy mbona ipo sana tu!kwa chapati we!
kalimati,azamto,fahari soda,mkate wa kumimina,
atazipata pacha wangu,nafkiri atakuwa hajaamka sa hiziMsalimie snowball.
Hivi mafuta ya cowboy na Kimbo bado yapo?
umesahau mafuta ya kasuku!