Vyakula au miiti gani inaongeza sperms kwa haraka kwa wingi?

Jamaa ktk ujana wake kabutuuua watoto wa watu mpaka sperm zimekwisha. Fainali sasa, mkeo ndo anazitaka. Haya kazana zije kama utaweza. Mpunguze kuzimwaga mwaga hovyo hovyo.
 
Am sowing my wild oats.
Kula diet iliyokamilika basi au mlo kamili. Lakini waweza kutumia asali, Samaki, maboga na mbegu zake , maziwa, Bamia, ndizi, jamii ya mikaranga, tikitimaji, vitunguu swaumu na maji, karoti, mayai ya kienyeji, soya .supu + nyama N.k. balanced diet ni muhimu Sana. Sio ukafakamie sembe yako haitakusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kula hivi yakula.

1.Asali.

2. Mboga za majani.

3. Mazao jamii ya kunde kama njegere, karanga, maharage nk.

4. Viazi vitamu, mihogo na mazao mengine jamii ya mizizi.

5. Maziwa mfano Mgando au fresh.

6. Matunda aina zote, sio lazima kula matunda mengi tofauti kama huna uwezo. Kula yanayopatikana ulipo ktk mazingira yako.

NB: sio lazima ule siku moja vyote ila hakikisha mlo wako unajumuisha viwili au vitatu kila siku. Baada ya mwezi nipe mrejesho.
 
Back
Top Bottom