Vyakula au miiti gani inaongeza sperms kwa haraka kwa wingi?

Mzee baba tumia mbegu za maboga au kwa jina lengine tetere.... unachukua ukubwa sawa na kiganja chako then unatafuna asubuhi na jioni... zikiwa mbichi ndo zinafaida zaidi... ukila week tu unakua ukipiga kitu basi kinatoka debe moja au mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changanya asali, tangawizi na vitunguu swaumu. Visage au uvipondeponde halafu uchanganganye na asali kiasi. Tumia baada ya Massa 12 vijiko viwili ( vya chakula) asubuhi na Jioni. Baada ya wiki tu utaleta mrejesho hapa mpaka demu atalalamika unamwaga nyingi sana

mkuu tunaomba vipimo vyauo mchanganyo
 
Kama umeowa lakini tumia hii kitu
FB_IMG_1543462630530.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom