Vyakula au miiti gani inaongeza sperms kwa haraka kwa wingi?

Changanya asali, tangawizi na vitunguu swaumu. Visage au uvipondeponde halafu uchanganganye na asali kiasi. Tumia baada ya Massa 12 vijiko viwili ( vya chakula) asubuhi na Jioni. Baada ya wiki tu utaleta mrejesho hapa mpaka demu atalalamika unamwaga nyingi sana
 
IMG-20190124-WA0004.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom