Vya usiku wa manane vitamu

Senior Bachelors utawajua tu!
Maongezi yao mmhhh...kwa si tuliochezwa yanakuwa yanaleta ukakasi kidogo...! lol!
 
Mm sikubaliana na hilo, ngoma mchana kweupeee ndy inanoga! tena mambo yanaanzia jikoni wakati waifu anapika juu ya meza mguu mmoja kwenye sinki!.....mwe! ah ah mpira unatambaa mpaka sebuleni kwenye zulia, ngoma inaenda kuishia bafuni wife kashika tepu ya majimoto!! Poleni mnaoishi Jotoni. shamba kuna raha yake bwa na, hasa watoto wakiwa shule!
 
Dah msitutamanishe wengine tushazoea gemu za mchana full joto afu ndo tuwazie hizo za mida hiyo inabidi tufanye fasta tuvute ndani!

Pole sana kaka, kama hujaoa fanya juu chini uoe, usije tamani haouse gal bure kwa majaribio, hivo vitakuwa sio vitamu---vichungu
 
Dah msitutamanishe wengine tushazoea gemu za mchana full joto afu ndo tuwazie hizo za mida hiyo inabidi tufanye fasta tuvute ndani!

Pole sana kaka, kama hujaoa fanya juu chini uoe, usije tamani house gal bure kwa majaribio, hivo vitakuwa sio vitamu---vichungu
 
aaaarrghhh,
nimekuja spidi kali nikajua dili si unajua wengine tuko kikazi zaidi,
kumbe unaongelea mambo yetu yaleee!.

Joji mbona unatuyeyusha, umetuambia wewe upo kikazi zaidi, maana yake wewe hayo mambo huyafaidi sana, sasa mambo yenu yaleeeeee ndo yapi, au wewe hata hizo kazi nazo huwa unasherehekea-----hapa tunaongelea kwa walio oa tu, kama bado kaka inabidi uwowe
 
Mm sikubaliana na hilo, ngoma mchana kweupeee ndy inanoga! tena mambo yanaanzia jikoni wakati waifu anapika juu ya meza mguu mmoja kwenye sinki!.....mwe! ah ah mpira unatambaa mpaka sebuleni kwenye zulia, ngoma inaenda kuishia bafuni wife kashika tepu ya majimoto!! Poleni mnaoishi Jotoni. shamba kuna raha yake bwa na, hasa watoto wakiwa shule!

,,,,Daah thithi wa uswazi bana game letu bana la mashaka mashaka tu,lakini nazo zina TASTE yake mwana,si unajua kula kitu katika hali ngumu,ni kama NANASI na MAUTAMU yake lakini limezungukwa na MAMIBAAA ha haaaa!!
 
mbona hii imekaa kimipasho mipasho tena ile yenyewe ya pwani kaka?
 
pdidy is a trained,qualified,experienced and senior bachellor...watu kama hawa utawajua kwa maneno yao hata bila kujua matendo.......
 
Ndio maana watu wengine wanakua wachovu kweli kazini mida ya asubuhi.
 
Ndio maana watu wengine wanakua wachovu kweli kazini mida ya asubuhi.

Afadhali waanaoenda kazini mwenzio leo nimetangaza sick gari ya kazini ikiwa nje...loh!!mapenzi haya jamani...naogopa tu kuaribu kazi
 
Afadhali waanaoenda kazini mwenzio leo nimetangaza sick gari ya kazini ikiwa nje...loh!!mapenzi haya jamani...naogopa tu kuaribu kazi

Usiku wa manane usingizi ulivyokuwa mtamu, halafu mtu atake mchezo jamani, kweli ndoa kaziiiiiiiiiiiiiii!!!
 
Usiku wa manane usingizi ulivyokuwa mtamu, halafu mtu atake mchezo jamani, kweli ndoa kaziiiiiiiiiiiiiii!!!

pretty
ina raha zake na karaha zake...lakini mwisho wake ....tamuu
 
ukitaka kuolewa/kuoa ujue kuna majukumu na uko on call 24hrs.....japo wengi hili linawashinda.

ooooohh yes
unajua hawa mabinti wa mjini damu zao zinachemka sana kuliko za vijijini
sasa akikustua uspoamka asubuhi anakwambia jamani usiku ulininyima unaishia kuuliza mbona sikuona;kumbe mauchvu kilombaya...
akifanya hivyo wiki apewi

inayokuja anakujakumpa mwenzio...anyway ni majukumu mojawapo ya ndoa...hata msaafu unasema msinyimane..bila kujali muda ........vigumu kuelewa haya nje ya ndoa
 
Back
Top Bottom