Vurugu Z'bar:Askari mwingine auawa

Vurugu Z'bar:Askari mwingine auawa

Nafikiri hapo kwenye RED ndio mipango ya CHADEMA ikiingia madarakani.

Hizo ndo tunaita bangi za mchana kweupeeeeeeee, CDM wanaingiaje katika huo ***** unaofanywa na hao wanaojiita uamsho? pole
 
Askari naona bora muwapige risasi hao watu za moto kabisa...
 
kikwete rudi nyumban uone yanayoendelea.

Atasaidia nini wakati kalianzisha mwenyewe?watu wanauana yeye anashangaa makasri na kuendelea kusign mikataba ya kuuza nchi!wapi pinda,wapi mzee wa kukat utepe!wanashindwa kutoa tamko na kuchukua hatua?idiöts.
 
Hatuna polisi, tuna vihiyo mbinu walizofundishwa vyuoni mbona hatuoni. Au wameingia kazini kwa rushwa. Wapige risasi za kweli!
 
Hizi damu za kuchinjana zina laana mbaya sana maana huwa zinamlilia Mungu toka ardhini,believers wake up for prayers,this contrary spirit ig gaining speed!
 
Kuna habari kuwa usiku wa kuamkia leo kuna askari mwingine ameuawa na safari hii ni askari wa kike ambaye inasemekana nae ameshambuliwa na wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa kikundi cha UAMSHO,huu utakuwa ni muendelezo wa mauaji ya askari huko Zanzibar baada ya jana kuriporiwa kuuawa kwa koplo Said Abdulrahman...

More updates to follow.

Toka saa 2 ad saiz huna update. au na we umeuwawa?
 
Kuna habari kuwa usiku wa kuamkia leo kuna askari mwingine ameuawa na safari hii ni askari wa kike ambaye inasemekana nae ameshambuliwa na wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa kikundi cha UAMSHO,huu utakuwa ni muendelezo wa mauaji ya askari huko Zanzibar baada ya jana kuriporiwa kuuawa kwa koplo Said Abdulrahman...

More updates to follow.

Nape na Nchemba, hii ni nafasi nyingine kwenu kukipazia Chadema. Kitakuwa kimehusika na mauaji huko zanzibar, si ndio eeh??
 
Atasaidia nini wakati kalianzisha mwenyewe?watu wanauana yeye anashangaa makasri na kuendelea kusign mikataba ya kuuza nchi!wapi pinda,wapi mzee wa kukat utepe!wanashindwa kutoa tamko na kuchukua hatua?idiöts.

Anasubiri yakisha tokea watu wakifa yeye aje alie mbele ya waandishi wa habari.maana huyu kulia ndio anachoweza kufanya.
 
chanzo cha haya ni Julius Nyelele sio Jk.

ki vp mkuu embu funguka maana baba wa taifa alijitahidi sana kukemea udini, na kupendeleana, na upuuzi wote wa aina hii. iweje akawa yeye ndio chanzo?
 
Silaha walizo nazo polisi si za kutumia kupambana na Uamsho, ni za kupambana na wafuasi wa Chadema.
 
Back
Top Bottom