hizi post za kutaka jk arudi ,katika zama hizi za upashanaji habari si atakua anafahamu kila kinachoendelea.naona kama ni pointless.
hizi post za kutaka jk arudi ,katika zama hizi za upashanaji habari si atakua anafahamu kila kinachoendelea.naona kama ni pointless.
Hivi jamani naomba mjuze kwani napata shida sana kuelewa sababu ya kuuawa hawa polisi...kwa sababu ni watumishi wa serikali?? mbona madaktari au waalimu hawauwawi? kwasababu ni wanausalama?? mbona JWTZ hawaguswi??....nashindwa kabisa kuelewa kabisa.... kwani kitu gani kina thamani zaidi ya uhai?? hawa ni wanadamu...wana ndugu jamaa na marafiki...mnadhani wanawaangalia kwa jicho gani?? nao wakiamua kulipiza kisasi kwao mnadhani tutakuwa katika hali gani?? Kujenga amani ni kazi ngumu sana..lakini kuivunja haihitaji nguvu....damu ya hawa wanauawa wakati tena wako nje ya majukumu ya kazi yao itawaandama.....MUNGU AWALAANI!!!Kuna habari kuwa usiku wa kuamkia leo kuna askari mwingine ameuawa na safari hii ni askari wa kike ambaye inasemekana nae ameshambuliwa na wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa kikundi cha UAMSHO,huu utakuwa ni muendelezo wa mauaji ya askari huko Zanzibar baada ya jana kuriporiwa kuuawa kwa koplo Said Abdulrahman...
More updates to follow.
nch aitawaliki...czan kama nina rahc
hawa uamsho dawa yao kumiminiwa risasi kama nvua tu.mapolisi ya siku hizi hovyo sana, yaani polisi anakufa na bunduki mikononi, nadhani tatizo liko huko ccp wanakofundishia